Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mumeona mkenya aliechanganyikiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ameanza kuokota picha za nchi za watu na kusema nyeri[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
[emoji23][emoji23] lamba lolo

Kenya sio nchi ya kutupwa kama yenu
 
[emoji23][emoji23] lamba lolo

Kenya sio nchi ya kutupwa kama yenu
warudishie wenye nayo picha yao unazidi kujiaibisha maji shingoni sasa munaanza kuiba picha za watuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mugabe hakukosea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Barcelona

Ila nyinyi watoto sana, washamba sana lazima niwaumize kimawazo. Ona jinsi ndugu yako kalia kule juu [emoji23][emoji23]

FREE COMEDY
ulijaribu kujidanganya nafsi yako au sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa ii ni nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hio ni kwamba hatuwezi kujenga international airport mbili sehemu moja ndio maana 50km utakutana na kIA na arusha town utakuna na airport ndogo kwa ajili ya light ya aircrafts wapi hukuelewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ya Mwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hio ni kwamba hatuwezi kujenga international airport mbili sehemu moja ndio maana 50km utakutana na kIA na arusha town utakuna na airport ndogo kwa ajili ya light ya aircrafts wapi hukuelewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nauliza kama hiyo ni airstrip ama cow shade πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…