Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Burudani kidogo kwa wale tunaofill hiphop
Toka DSM watu wanafanya yao
FID Q

 
Dar_es_Salaam_before_dusk.jpg
kumekucha sasa kwenye failed state😂😂👇👇


 
Kama marebels from Congo usings crude weapons can overpower tanzania solders...what about al shabaab with automatic weapons and grenade launcher???..wataweza kweliView attachment 836422
na aty walikuwa peace keeping meaning hio haikuwa indipendent mission yao ilkuwa ya UN na bado wakafagiliwa while kenya iko almost Liberating a whole Nation
 
hii ni mbinu ya kitoto kukimbia tatizo,aliyekwambia waasi wa kongo wanatumia siraha za jadi nani??unajua maana ya uasi,unajua muasi anakuwaje.achana na hao magaidi wanaojulikana na wakenya pekee.
aty nini? Did you know that Al shabaab ni brunch ya ISIS na Akaida! USA pekee ililemewa kuliberate Somalia 2003 until kDF took over and Conquered Kismayu & Mogadishu....nyinyi mnapigana na wezi wa mifugo alafu mnajiita wanoma Ingieni Somalia tuone kama mtarudi uhai hata mmoja Somalia ni open air war only fought by the brave Soldiers ready to die huko hakuna cha ukomandoo huku ni kill me i kill you! Acha vile mnajiona die hard ndio mtakufa kama kuku ikichinjwa
ghazi20110311204607890.jpg
0fgjhs2tk3huil874.4aa173db.jpg
4bpl84d7825d5d10dr2_800C450.jpg
KDF-somalia.jpg
Okeowo-The-Enduring-American-Mission-in-Africa.jpg
kdf-pic.jpg
 
aty nini? Did you know that Al shabaab ni brunch ya ISIS na Akaida! USA pekee ililemewa kuliberate Somalia 2003 until kDF took over and Conquered Kismayu & Mogadishu....nyinyi mnapigana na wezi wa mifugo alafu mnajiita wanoma Ingieni Somalia tuone kama mtarudi uhai hata mmoja Somalia ni open air war only fought by the brave Soldiers ready to die huko hakuna cha ukomandoo huku ni kill me i kill you! Acha vile mnajiona die hard ndio mtakufa kama kuku ikichinjwa View attachment 836582View attachment 836583View attachment 836584View attachment 836585View attachment 836586View attachment 836587
hao jamaa zako kuwatandika Kdf hand down,sio kigezo cha ubora wao.huwezi kuwa serios watu watano wanateka mall nzima nje kuna troop kadhaa za vifaru na hamshiki hata mmoja,halafu unakuja kujikakamua kuandika hapa,vingine ni aibu.
 
hao jamaa zako kuwatandika Kdf hand down,sio kigezo cha ubora wao.huwezi kuwa serios watu watano wanateka mall nzima nje kuna troop kadhaa za vifaru na hamshiki hata mmoja,halafu unakuja kujikakamua kuandika hapa,vingine ni aibu.
Hio haijafanyika kenya pekee? 1998 ilfanyika Nairobi times towe USA 911 pia ilikuwa the same case Tanzania bombing hamkuwezana nayo France, Nigeria bokoharam zoote zime fanyika successfully (caught by surprise) but i am talking of a battle field (jangwani) face to face na terrorists!! Mkuje Somalia kama mnawezana, real soldiers fight face to face not hide and seek
 
Back
Top Bottom