Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Onyesha lini na nchi gani iliyotangazwa iliyotangazwa na IMF au WB, hiyo sio kazi ya hizo Organizations. Kenya is a trible country, je unakataa hadi WB na IMF watangaze hilo?. Acha kukimbia ukweli, Kenya is a failed state.
Na mbaya zaidi manyang'au hayajielewi
 
dogo dar itakulaza bila shuka,unaita takataka ila jiji ambalo limekuzidi kila kitu!!
 
leta taarifa ya mauaji ya albino latest,sio hii maelezo.
 
Lete data ni lini Albino aliyeuliwa kwa Mara ya mwisho. Kenya ukabila, rushwa, police killings, terrorism, slums, crime. Vinatokea daily hata jana watu watatu waliuliwa baada ya gari lao kukanyaga bomu huko Northern eastern Kenya, wewe sema ni lini umesikia albino aliuliwa kwa mara ya mwisho
FRONT ROW: Yes, tribalism is alive and well in every one of us
 
dogo dar itakulaza bila shuka,unaita takataka ila jiji ambalo limekuzidi kila kitu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ushawahi kaa chini ukajiuliza tukitoa hizo gorofa tatu za blue dar itakaa aje?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] and if so tokitoa hizo gorofa can dar compete with Mombasa kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] yako hio ndio kitu imewashikilia mombasa already is ahead of you in many aspects na unalialia hapa
 
mombasa nao ni mji,ila kuushindanisha na dsm ni kuuzidishia majukumu,ndio maana tuliruhusu muijumuishe pia katika huu uzi isaidie nairobi.
 
Annal, I have a life nig**, saa hii niko kwa pub napewa mbili, tatu nikisoma hii upuzi yako.
Kuja Kenya, hautawai regret.
Itakua upo nje ya pub kuvizia WiFi ya bure ngoja ukiludi kibera tuone kana utakuwa hewani
 
Tehehehee. You will NOT Succeed with your reverse psychology. Go away Hahahaa
Huyo mwezako kasema kweli ila yupo nje ya pub yenye WiFi ya bure sisi tulikuwa tunataka akiwa nyumbani .
 
Hahaha wacha kuhate, naweza deportiwa nikiland hivi.
We nyangau ukitua tu dar airport utaanza kukutana na hapa kazi tu ujenzi kila sehemu na mademu wazuri wa bongo siyo kama wakenya wamekomaa kama majambazi sugu
 
jungle of slumsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
endelea kuokota picha za google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…