Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You mean bado mnatumia buses?? Haki ushamba itawamaliza kweli na ndio hii mnagawa maembe sasa.. .. Poor Old Dangagiza
Aty buses[emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu wanaona wako digital sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe they are infact zero infact Kenyan coaches are the best in the region.
 
mbona wasee wa dar hawanaga swag hata kidogo,,,,,watu wamechakaa na kudhoofika sana.ama ni mawazo ya kuingia uswazini kwa the iron corugated shacks resembling houses,,,,lol....
Hizi ni malaloo tu. Mtu akiona bus anaiangalia hadi ipige kona
 
IMG_2930.JPG



IMG_2928.JPG



IMG_2933.JPG



IMG_2933.JPG



IMG_2937.JPG



IMG_2940.JPG



IMG_2942.JPG



IMG_2949.JPG




IMG_2950.JPG




IMG_2952.JPG
 
tebu post Tanga Fresh na Azam Juice plz
Hahahaha kijana sasa hivi nipo kazini tunapiga kazi. Subiri nitakushughulikia baadae. Ninajua nikitia maguu utajificha kama panya.
 
tunajenga modern electric railway in africa 700km using our money no loan

tumenunu 7 brand new aircraft no loan bado unataka nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha even if u buy 100 planes u are still super LDC
 
Back
Top Bottom