Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

vita vya ardhiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
sijui wapi mulikosea wakenya sijui mchawi wenu ni nani


 
tanzania kwenye issue of developments bro huiwezi hata kwa ukucha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Exactly my point, let the development speak for itself. Otherwise listening to nonstarters like you make the birds in the forest chirp.
 
kwa hiyo kwa akili yako info zinapatika kwa watu wa mitandaoni??unajua interests zao??kama kweli unataka info za kuaminika kwa nini usizitafute kwenye official source za dangote cement co.Lt?? . ..wewe ni wa kuhuruniwa uko na furaha kabisa kuishi failed states!
 
kwanza kabisa jihurumie mwenyewe kwa kuwa mkaazi wa nchi maskini wa kutupwa.
pili, huwa napenda kupata info from the horses' mouth bila ushabiki wala udanganyifu.
tatu, kuna mpuuzi nimemnasa kwenye mtego alipotaka kuniaminishia kuwa cement inauzwa Tsh7,400/-
 
ulitarajia nipate info toka kwa watembeaji barabarani? wewe una akili nzuri kweli????
how comes sehemu zingine bei ni 7400 na kwengine ni 13,000 - 20, 000 (Tsh).... you see that range?
dullard
 
ulitarajia nipate info toka kwa watembeaji barabarani? wewe una akili nzuri kweli????
how comes sehemu zingine bei ni 7400 na kwengine ni 13,000 - 20, 000 (Tsh).... you see that range?
dullard
tuliza akili yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…