Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cheki hiyo at same altitude na hapa ni Eastlands
Hiyo shule inaitwaje..?..Aisee ni ulaya kabisa yaani.....dah yaani nyie ni matajiri check mijengo ya maana hapo chini dah ni mbinguni hapo.....
 
vile Nairobi inakanyaga Dar![emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wanaume wanapigwa na wanawake kama watotoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

 
wapi gor mahia maskini ya Mungu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hakuna ushahidi nitaleta na usiwahingoja bora unajua hii ni Dar upende usipende


slum umekosaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
endelea kuokota picha za google na kusema dar
 
That one with rusty roofs ama kwa standards zenu hiyo ni suburbs?😱😱
kwa hiyo kwa akili yako nyumba kama sio suburbs,basi ni slums??
Aisee jamiiforums inazidi kunithibitishia kile tulichokuwa tunaaminishwa kuwa Kenya kuna elimu bora kumbe ovyo tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…