SGR lazima mukope kaka, serikali is struggling to finance, hamna pesa ni porojo ya CCM na unajua. Bagamoyo ni $10Bn(Ksh1Trn) deni almost three quarters your natiobal budget!., ilhali hamna import/export bulk sufficient to satisfy its huge demand to break even. Nchi zenye zimewazunguka ni masikini wa kutupwa! Maybe Africa's plan of interconnection ya SGR happens fast, as agreed across the continent, Mchina anasema plan yake ni port ya Bagamoyo iwe kama ile ya Shenzhen of which kiukweli hiyo ni opinion yake tu, Shenzhen has business which even if EAC yote tu combine and we all use Bagamoyo port na pia tuvute Ethiopia we can't match Shenzhen!! Mchina ako na agenda yake. Am hoping for the best lakini., Mungu akitupa uhai tutaona vile mambo yataenda.