we hali yako umeikubali? unapost slums za dar na huku zenu ni 'WORST' in Africa. Mi naona unatafuta ushinde na mimi sina makuu, chukua ushindi kama unataka lakini huo ni utoto tu, ukikua utagunduaUsijifanye hujui Dar sluum kubali usaidike...the first step to healing ni kukubali hali yako sio kuwa in denial na hasira za mkizi.
maskini ya Mungu sasa umeokosa slum bora uhamie kwenye GDP kama wenzioπππππππππππDar ni mkusanyiko wa VIBERA yaani
This is part of Eastlands..kwa mahustlers....guys here are richer and live in better conditiond than "middle class tanzanians in DREAM houses"Google earth[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
mzungu sio mjinga
View attachment 828213
akubali sehemu isiokua dar yani uokote picha za google nchi za watu useme dar alaf akubali πππππππππUsijifanye hujui Dar sluum kubali usaidike...the first step to healing ni kukubali hali yako sio kuwa in denial na hasira za mkizi.
That wont be necessary, Hali ya Wataz naijua vizuri sana maana nipo Tz na niko out of town nimeenda Mwanza. The last time I was here ni 7 years ago but now nimekuwa shocked by jinsi middle class ilivyoongezeka. Mchana nitajaribu kupiga picha za mtaa ninaokaa then nitapost uone jinsi watanzania wanavyozidi kuimarika kimaishaNa ndio sababu mtazidi kubaki nyuma. I hope umeitizama hio video. Mko chini kama NONSENSE.
Tumia google ujielemishe kuhusu Urban Planning
We are giving you a dose of your own medicine. Nyie ndio wenye hii tabia. Mkitukanyaga mlikua mnafikiria nini? Sasa hivi mkishindwa you are trying to play victims. Ole wenu.No sina presha ila ninakukosoa tu wa kile ulichosema, eti "tumeshindwa na nini? na nani? punguza presha" halafu chini yake umepost countries with most poor people. Huu ni ulimbukeni, yaani uko determined to step on us wakati we are both on that list perhaps labda msingekuwepo ndio ningekubaliana na wewe
na hiiiππππ ππππππThis is part of Eastlands..kwa mahustlers....guys here are richer and live in better conditiond than "middle class tanzanians in DREAM houses"View attachment 828215View attachment 828216View attachment 828217View attachment 828218
Imewapa taabu sana. Yaani hawawezi kubali kijiji chao 80% is unplanned, crowded and filled with informal settlements.Hiyo video wameingalia wakaanza kuyumba yumba yani siri zao zimewekwa wazi...I am telling you we are taking over this thread...I think its time to even close it ama tungoje pinnacle imalizike tuwanyamazishe forever?
Only in tz...a skyscraper in a slumna hiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 828221View attachment 828222
Mimi nakubali tuko na slums je wewe unakubali Dar 90% ni slum?we hali yako umeikubali? unapost slums za dar na huku zenu ni 'WORST' in Africa. Mi naona unatafuta ushinde na mimi sina makuu, chukua ushindi kama unataka lakini huo ni utoto tu, ukikua utagundua
Dar inajulikana babaa inajikaa tu.akubali sehemu isiokua dar yani uokote picha za google nchi za watu useme dar alaf akubali πππππππππ
hio ndio slumπππππππOnly in tz...a skyscraper in a slumView attachment 828224
Hahahaa you are funny man, Eti a dose of our own medicine? dude mi sina maisha ya kijinga kama unavyodhani and so do most Tanzanians. Hapa nchini kuna fursa nyingi sana compared to your country. Rafiki yangu hivi anaventure yake ambayo ameanza kuajiri watu sasa kwenye job application pool w\ya wakenya ndo imejaza yaani huko hali ji ngumu kiasi kwamba huku mnaona nafuuWe are giving you a dose of your own medicine. Nyie ndio wenye hii tabia. Mkitukanyaga mlikua mnafikiria nini? Sasa hivi mkishindwa you are trying to play victims. Ole wenu.
Nyie ni classic case of "Maskini akipata tajiri atajuta"
so 90% iwe slum alaf mzungu asione na google earth isijueπππππππMimi nakubali tuko na slums je wewe unakubali Dar 90% ni slum?
Dar inajulikana babaa inajikaa tu.
kwa kujitetea nawaaminia wakenya I think watakuambia hapo gvt yao imepanga kuweka sgrhio ndio slumπππππππ
na hiii utasema nn ππππππ
nyumba full suit ni mabati
View attachment 828226
ukweli wanaujua ila sasa hawawez kukubali ukweliππππ.kwa kujitetea nawaaminia wakenya I think watakuambia hapo gvt yao imepanga kuweka sgr
Hii ni NONSENSE na POROJO. Hakuna anayetaka kujua. We are talking about URBAN PLANNINGThat wont be necessary, Hali ya Wataz naijua vizuri sana maana nipo Tz na niko out of town nimeenda Mwanza. The last time I was here ni 7 years ago but now nimekuwa shocked by jinsi middle class ilivyoongezeka. Mchana nitajaribu kupiga picha za mtaa ninaokaa then nitapost uone jinsi watanzania wanavyozidi kuimarika kimaisha
When a city is a slum with pictures to prove.so 90% iwe slum alaf mzungu asione na google earth isijueπππππππ
View attachment 828228View attachment 828229