Sasa kama wewe unasema Dar is a one big slum na hata haijawa classified kuwa ni one of Africa's worst slums, sasa tusemeje slums za nbo ambazo zimejaza list ya Africa's worst slums and besides nyie slums mnafanya maendeleo gani? Sisi hadi BRT tumesogeza kwenye hizo slums nyie he? Mnasikitisha sana kwakweliOMG Hahahahahaaa dar is one huge slum. Haha no planning, no nothing LMAO
Dar wasiotaka kukubali na kutuonyesha hii hapa
Vile nyinyi hujitapa hapa kumbe kijiji chenu ni one big slum. Apart from CBD na Oyster Bay the whole city is crowded and stinks of informal settlements. Kwa kweli Nyani haoni kundule
Slums tunazo na tumekubali. Nyinyi hamuezi kubali mko na slums.Sasa kama wewe unasema Dar is a one big slum na hata haijawa classified kuwa ni one of Africa's worst slums, sasa tusemeje slums za nbo ambazo zimejaza list ya Africa's worst slums and besides nyie slums mnafanya maendeleo gani? Sisi hadi BRT tumesogeza kwenye hizo slums nyie he? Mnasikitisha sana kwakweli
Hahahahahaaa unadhani unatusikitisha? Hahahahahaaa Kibera ni slum inayojulikana worldwide. So ukileta hata picha elfu moja hazitudhuru.
ndugu yangu mi sijakataa kuwa dar hakuna slums ila wakenya zenu mmezidi tena sana tuHahahahahaaa unadhani unatusikitisha? Hahahahahaaa Kibera ni slum inayojulikana worldwide. So ukileta hata picha elfu moja hazitudhuru.
Nyinyi the whole city (no, 78%) inafanana na hiyo Kibera [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. zwazwa wewe
filthy labda nchi yenu hiyo. Mnajifanyaga mko high class kumbe poop tu nyie na hiyo nairobbery yenuDar es salaam is a filthy city with no urban planning
Haya tizama hii video polepole tena kwa kinandugu yangu mi sijakataa kuwa dar hakuna slums ila wakenya zenu mmezidi tena sana tu
Na hii piandugu yangu mi sijakataa kuwa dar hakuna slums ila wakenya zenu mmezidi tena sana tu
Tuko high class tena sana ukilinganisha na darislumfilthy labda nchi yenu hiyo. Mnajifanyaga mko high class kumbe poop tu nyie na hiyo nairobbery yenu
Woah...90% is undeveloped..just one huuuge shantylandHaya tizama hii video polepole tena kwa kina
Manze! The only places that are good enough ni CBD, Oyster BayWoah...90% is undeveloped..just one huuuge shantyland
Manze! The only places that are good enough ni CBD, Oyster Bay
Nimeitizama hiyo video mdomo wazi. Alafu wanasema sio slums. Kama si slums kwani hizo ni suburbs??
Jiji hakuna urban planning at all.
Hebu angalia hiyo video at 1:22...hapa mnatuwekea picha za mbele huku mnaficha nyuma hizo slums next to those buildings...dah! kumbe Dar ni kitongoji duni tu kwa asilimia 90.filthy labda nchi yenu hiyo. Mnajifanyaga mko high class kumbe poop tu nyie na hiyo nairobbery yenu