unajua dogo unaandika kiingereza broken kabisa yani kama unaweza kwenda kujifunza zaidi nenda kajifunze huwezi ukawa unazungumzia jambo ambalo ni simple present ukaanza na "I" then "always" halafu mbele ya verb ukaongeza "s" au "es" yaani useme "I usually goes" ,"you always does it",yaani unakuwa huna utofauti na wale wanaosema "she don't"badala ya "she doesn't",na tabia hiyo mnayo nyinyi watumwa wanaijeria,wajamaica,wakenya,na hata wamarekani wenyewe,jamaa unakuwa umevunja rule za lugha ya kiingereza ..