COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Wakenya wengi wako self employed so iyo story time sortPunguzeni unemployment munayoongoza dunia nzima na slum zinazoshangaza ulimwengu hahhahahhahahhahahahahha alaf kitu kibaya zaidi punguzeni gap between rich and poor hahahhahhahahahhahah
mbona mnalia na Kambalanick ??? on going projects bado hamfiki Konza Techno City. Wakati nynyi saa ii mumeamka, sisi tumekuwa macho miaka zaidi ya miaka 50. Wakati Tz inashindana na Nairobi, Nairobi inawatoka Africa nzima. Wallahi nitavunja chupa nijichinje na kigai Africa nzima ikijenga jumba zaidi ya 300m pahali popote. na kwa bongolala, nitajikata hichi kidole naandikia nacho hapa mukijenga jengo zaidi ya 200m
Usisahau zanzibar inawangojea ipo tu hahaahhahahahaArusha and mwanza,dodoma and moshi. ...unaswali lingine?
Naona Picha ya Mandela Hapo,NAIROBI
Tuma picha...Arusha and mwanza,dodoma and moshi. ...unaswali lingine?
Usihamishe Mada weweNjee ya dar sidhani kuna town iko na 10 floors tanzania
Ati moshi iyo pia ni taoArusha and mwanza,dodoma and moshi. ...unaswali lingine?
We boya nyamaza Hamna kitu unachojua unapayuka tu kama zuzu,the valid ni 22,20,17,14.Morocco square ni 22, 20, 9, 3floors. kaa mbali na Nairobi. semeni mupewe mji wa Nakuru ndio mutatoana kijasho
We boya nyamaza Hamna kitu unachojua unapayuka tu kama zuzu,the valid ni 22,20,2Morocco square ni 22, 20, 9, 3floors. kaa mbali na Nairobi. semeni mupewe mji wa Nakuru ndio mutatoana kijasho
Wacha kuharibu kiswahilibahahaha. kumbuka capital city ni Dodoma lakini inakaa Kisii Town
5 million/50 million use internet in tz only 10%yes many of us don't use twitter and we don't care.start a new thread if you need to know why.
our current concern is insecurity issues and criminal activities in nairobi as being reported daily or every hour on social media.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yes many of us don't use twitter and we don't care.start a new thread if you need to know why.
our current concern is insecurity issues and criminal activities in nairobi as being reported daily or every hour on social media.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
superpower is bigger and powerful than kenya police and kdf.shame
Gud
Btw GDP per capital ya Southsudan INA double ya Tz..this guys are poor
Kisii ni kubwa...inakaa karatina
bahahaha. kumbuka capital city ni Dodoma lakini inakaa Kisii Town
Tuma picha yani mko na city mojaUsihamishe Mada wewe
huo ni utoto
Hospitali tu ya Muhimbili ina Kumi
Ni kodi za Watanzania, unatumia makalio kufikiria?Hii ni msee anainvest si government... Nyinyi MNA uwivu sana
leo tumewashika pabaya...heshima itarudi tu na sio tafadhaliWe usijifanye unaongea sana hio unaona ngapi sijapost below 20 hapa usitafute gear hapa tulia
70% ya wasee wenu huishi kwa slums...ata kwa mangoma zenu video huonyesha..ie utanipenda,kwetu rayvannyLini umewahi kuona Au kusikia
kiongozi au msanii
katembelea Slum Tanzania au Dar!!
kwanini Slum jina hilo maarufu Kenya pekee!!
Umetushika wapi munavuruga thread kwan hatujui ujanja wenu mutulia sasa niendelee sijamaliza hata roboleo tumewashika pabaya...heshima itarudi tu na sio tafadhali
mbona hamueleweki tena ...i thought mnataka skyscrapers zenye ziko under construction above twenty floors saa ii naona majanga apa...hahaa,mmeishiwa vipiGud
Mara world bongo tusikimbiane humu ndani hehheehheheheheehe
View attachment 493313
View attachment 493316
View attachment 493314 View attachment 493315
Unaanza matusi...Ni kodi za Watanzania, unatumia makalio kufikiria?