Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya msije mkafkiria ni dubai au riyadh hapana hapa ni unguja tanzania😂😂👇👇
3F283372-F513-48DD-96B8-E78348F74CEE.jpeg
7E2E4F19-9163-468C-8A84-BEB3E467CEF1.jpeg
B67B5060-6D11-4582-84C1-80B79A02C095.jpeg
31298B92-37D7-4E3F-944B-B0AD7BC6DF72.jpeg
7B6296EE-C756-40C4-9A89-5DC8CF74B3FE.jpeg
97AF74BA-2D04-49CC-88CB-867F76B78969.jpeg
9606B2C3-75A2-4463-949C-CDEA812B67B5.jpeg
95131DD3-5D54-43CA-B6F1-F32C80754EE1.jpeg
5B8EBFB2-CDAA-4A45-8298-EC3522FD6318.jpeg
6E4EB645-EF1E-4844-A22B-AD5B007CCCFB.jpeg
 
mimi kulingana na maoni yangu ni kuwa Dar imekuwa kwa kasi. Sasa ni mjitahidi kuifanya Dar kupata umaarufu wakutosha na Watanzania mchape kazi kisawasawa makampuni yenu yaweze kuvuka border. Makampuni ya Kenya kama Equity Bank, KCB Bank, Sportpesa, Nakumatt, na mengineo ndio sasa mnafaa mshindane nazo.
 
ushindani wa sasa kwenye biashara ni mkubwa sana sipingi maneno yako bali naongezea kua ukija kwenye ushindani wa supermarket tayari kenya tushamdondosha kwa upande wa tanzania kwa sababu uchumi kashindwa kaondoka na nakumatt tayar ameshindwa ameanza kuondoka
 
kwa kujikumbushisia tu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

modern BRT in africa
dar
View attachment 826448View attachment 826449

south africa
View attachment 826446View attachment 826447

nigeria
View attachment 826452View attachment 826450

kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 826445View attachment 826451
Sema hiyo brt ya nigeria ni vituko....[emoji3] [emoji3]

Ila hiyo ya wakenya ndiyo kabisa imekuja kuvunja mbavu
 
ushindani wa sasa kwenye biashara ni mkubwa sana sipingi maneno yako bali naongezea kua ukija kwenye ushindani wa supermarket tayari kenya tushamdondosha kwa upande wa tanzania kwa sababu uchumi kashindwa kaondoka na nakumatt tayar ameshindwa ameanza kuondoka
Uchumi na Nakumatt hata hapa Kenya walifunga kazi. Kenya supermarket kubwa saa hii ni Tuskys akifuatwa na Naivas
 
Back
Top Bottom