Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Not Africas, Kibera is the World's Largest and Worst Slum
Dar-es-Salaam-masterplanning-London_52b835da431f68f893f7352496a92391-1.jpg
 
Please be reminded that this is 100% Tanzanian forum
Bila waKenya it is but, with a Kenyan Section it is not. JF inajulikana na Tanzanians only and a like 20 Kenyans...huu upuzi wenu ndio unaowazuia Wakenya wengine kuingia.
 
Nacheki Ariel photos za Dar zinazidi kuchipuka kila uchao,kama kawaida nilijua BRT imepitia kwa slum kubwa(22km long).
Kuna mmoja aliniambia ati iyo barabara inaonyesha kuwa wanaoishi huko wanamiliki magari and then nikamuliza if they own the BRT buses na hivo ndo alidisappear 😂😂😂
 
Kuna mmoja aliniambia ati iyo barabara inaonyesha kuwa wanaoishi huko wanamiliki magari and then nikamuliza if they own the BRT buses na hivo ndo alidisappear [emoji23][emoji23][emoji23]
Lete aerial views zilizopigwa toka umbali sawa, hiyo ya Dar imepigwa toka juu sana tofauti na hiyo ingine ambayo hakuna landmark yoyote inayothibitisha kama ni Kibera kama unavyodai.
 
Lete aerial views zilizopigwa toka umbali sawa, hiyo ya Dar imepigwa toka juu sana tofauti na hiyo ingine ambayo hakuna landmark yoyote inayothibitisha kama ni Kibera kama unavyodai.
BRT imepitia kwenye slum babaa na ni wazi, hii picha hakuna mtzee anaweza weka hapa especially you joto. Njia ya muongo ni fupi, nyingi zitachipuka tu.
 
Bila waKenya it is but, with a Kenyan Section it is not. JF inajulikana na Tanzanians only and a like 20 Kenyans...huu upuzi wenu ndio unaowazuia Wakenya wengine kuingia.
Nani alikuita huku? Si ulikuja mwenyewe? Kama Rudi kule kwenye pathetic Ktalk mnaupload Pono na matusi ya kikabila all the time.
 
Tihahahhaaaaa.. .. Please also show the 70 %Slum that you have for a capital. Na mbona imekaa kuungua kama popcorns hiyo kamji Kenu ama ni story na kuharahara kila mahali hadi katikati mwa mji. Very dirty people
google earth hii😂😂😂😂👇👇👇

ukipata sehem google earth neno slum in dar nitag plz sawa

855F7185-07C0-4311-8A7A-7CE1774F2FBA.png
 
Lete aerial views zilizopigwa toka umbali sawa, hiyo ya Dar imepigwa toka juu sana tofauti na hiyo ingine ambayo hakuna landmark yoyote inayothibitisha kama ni Kibera kama unavyodai.
hehhe hawezi kukuletea hata siku moja 😂😂😂yani hajui hata kuangalia umbali wa eneo lilipopigwa
 
Back
Top Bottom