tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
AnhaaLusigetti Tunnel has a length of 1007m. View attachment 822024
AnhaaLusigetti Tunnel has a length of 1007m. View attachment 822024
Haha..kali sana...thats all it means to them..three blue buildings is their pride..ndo wanaona wamefika ligiHizi glass tatu ndio mnashinda mkiweka hapa usiku na mchana. Hamna majumba mengine?
nilidhani iko nairobi😂😂😂😂😂The funny thing about Tanzanians ni kudhani inchi yao pekee ndio inadevelop Africa mzima. Sasa ukisema mko top ten in Africa si utakuwa unatudanganya vibaya sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlifikaje top ten na hamna mandatory things kama indoor arena[emoji23] [emoji23] & infact tukichukuwa stadium za South Africa,Nigeria,Ghana, Morocco,Egypt,Algeria na congo!! Hamfiki hata top 30….infact East & Central Africa ni congo ndio ujue kweli mnajidanganya...CONGO HIO...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 821621View attachment 821622
siku zote kubali kushindwa hata kama unaumia hakuna namna narudia tena tanzania stadium is the modern stadium in east and central africa and one of the top ten expensive stadium in africaThe funny thing about Tanzanians ni kudhani inchi yao pekee ndio inadevelop Africa mzima. Sasa ukisema mko top ten in Africa si utakuwa unatudanganya vibaya sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlifikaje top ten na hamna mandatory things kama indoor arena[emoji23] [emoji23] & infact tukichukuwa stadium za South Africa,Nigeria,Ghana, Morocco,Egypt,Algeria na congo!! Hamfiki hata top 30….infact East & Central Africa ni congo ndio ujue kweli mnajidanganya...CONGO HIO...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 821621View attachment 821622
jibu lako liko hapa😂😂😂😂Aty top 10 in Africa??I have gone through these stadiums Nikahurumia watanzania[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] THIS IS AFRICA!
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]View attachment 821624View attachment 821626View attachment 821628View attachment 821629View attachment 821630View attachment 821631View attachment 821632View attachment 821633View attachment 821634View attachment 821636
heheh hawez kukuonesha 😂😂😂😂Why are u posting SA stadia? Where is Kenya's?
mbezi beach kama sijakosea
ni haki yao kwasababu aviation industry ndio business wanayoitegemea sanaHawa watu ni nomaView attachment 821904
acha hasira hapa ukitukana ukileta upuuzi unakula ban ili ukajifunze tabiamods wa JF wako na utoto mwingi.
cash deal and not leasing deal😂😂dude, tuko 2018 na unashangaa kuona ndege. nakuona fala sana
kuna kitu hamjakijua labda kuhusu yanga,Yanga ni timu kubwa katika ukanda wa afrika mashariki na kati na ni timu yenye mashabiki wengi hadi nnje ya mipaka ya tanzania ila kwa sasa imeyumba kutokana na migogoro ya kiuongozi na hadi kufika katika hatua hii ya makundi ni kutokana na uzoefu wa michuano hii ila bila ivo haikustaili hata kufika hapa ilipofikaIle Yanga yao imefanywaje?
Gor 4 life!!! Hii kitu sisi ndio kusema[emoji12] [emoji12]Haha...watu wangu wa tz...kwani kuliendaje??View attachment 822197
Longest in East Africa!Lusigetti Tunnel has a length of 1007m. View attachment 822024
nimengojea io ban tangu asubui na siioni. is K.Talk a p0rn site or a swear word?acha hasira hapa ukitukana ukileta upuuzi unakula ban ili ukajifunze tabia
Utaskia mtanzania akilia hapa hawanunui ndege na cash! Surely what the hell do this ass*les meanHawa watu ni nomaView attachment 821904