Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miaka 10 kutoka Leo Dodoma wataiheshimu bila shuruti...tunapokea vijembe na maoni yenu leo. ..
DODOMA wanapata sgr pamoja na treni za umeme NBO haitatokea ndani ya miaka 20 kutoka leo
DODOMA hiyo hiyo iko na chuo kikubwa kuliko UoN lakini hawawezi kuliona ilo Leo
Pia DODOMA hakuna shanty its almost the most planned town in TZ kunajengwa is mipango sio izo slums zenu zimejaa Apo Kenya mnajipiga kifua mkitamba
Kweli kabisa hawa dar siyp level kwa sasa washindane na dodoma na mwisho wa siku itawapiku
 
Hamna mtu anachukia Kenya embu jiamini kwanza, huwez enda racing then umpe heko jirani ilhali unakila sababu ya kufanya poa kumzidi, rivarly thing ,Tz tuna kila sababu ya kuongoza ukanda huu mali tunazo,kuna mahali tulichezewa ndio inatuwekea kauzibe...lakini haituvunji moyo we work harder than ever don't chill
Umempa fact sana kama hajaelewa atakuwa zeroo
 
kumbe you think its just a dream😀😀😀
Utajua hujui
Screenshot_20180725-185344.jpg
 
Hamna mtu anachukia Kenya embu jiamini kwanza, huwez enda racing then umpe heko jirani ilhali unakila sababu ya kufanya poa kumzidi, rivarly thing ,Tz tuna kila sababu ya kuongoza ukanda huu mali tunazo,kuna mahali tulichezewa ndio inatuwekea kauzibe...lakini haituvunji moyo we work harder than ever don't chill
But not as hard as Kenya i hope you know pace ya wakenya!
 
Watakuambia is culture
Kabissa!! Hizi sio daladala my friend...infact it is now an Industry coming up & making kenya unique! Kenya haingoji wazungu kuwaletea vitu zao & then they expect us to follow their culture,Tanzanians need to realize wazungu sio Miungu.And thats why Nairobi is the most intelligent Country in africa,Kenya speaks for Africa when whites mistreat them ([HASHTAG]#SomeoneTell[/HASHTAG] CNN) ndio kwamaana wakenya wakitoka kuenda majuu wao hueshimiwa saana! (We Produced The 1st Black President of USA) Hii roho ndio ilifanya Mpesa ikainventiwa,Sportpesa...etc wakenya walipenda kubet games tangu hata sportpesa kuanza a culture which emerged as an Industry the same way Manganya Culture is coming upas a gaming & art Industry and soon we'll influence Others.Na mtafuata tu kama Kondoo...(Dar iko na game gani....BRT?? ) alafu mnaona mko mbele ya kenya kwa inovation yet you are being spoon fed by foreigners, you cant even design your own structures mbaka mfanyiwe hio pia
FB_IMG_15324313630242188.jpg
FB_IMG_15324042386276724.jpg
FB_IMG_15323214947980006.jpg
FB_IMG_15323221922994772.jpg
nyashinski-with-Trey-Songz.jpg
FB_IMG_15310263974038073.jpg
 
Mombasa inasumbua Mwanza nakubali. ..lakin kwa Dar itachukua miaka 4000
Dar haiwezi fikia Mombasa hata kwa dawa. Hebu angalia infrastructure kati ya miji Hii miwili uniambie Dar imeishinda Mombasa kivipi kama Bandari yetu ndio kubwa zaidi ukanda huu, barabara pia Dar haiwezi toboa bila kuisahau SGR up and running. Hebu anzisha uzi wa Dar vs Mombasa uone tutakavyo waibisha .
 
Back
Top Bottom