Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha wajipepee bro.hivi umefikiria dar itaonekanaje baada ya BRT fase 2&3,sarender bridge,na hiyo SGR????hapo 2020,mimi nacheka watu fulani kwa dharau.
heheheh ndio maana nataka hii thread idumu mpaka 2020 bro yani hawa watalia machozi ya damu😀😀
 
Eti Dar is slum hahahah hivi kama mnaiita Dar hivyo na classification ya slum zao Nairobi zinajaza list ya Africa's worst slums sasa Nairobi tuiitaje cjui Naislum au Green city in a shithole
Itakuwa ni ni slum badest
 
TUUSAN mambo ni kumoto huku.

Mbona na hawa ndugu zako wasikubali hali yao na wazingatie uchumi wa nchi yao badala ya stupid comparisons tusonge mbele?

Cha muhimu ni uhai
Wakati wewe hapo ulipo ni mfu kifikra
 
umefikiria vizuri sana,tunawatumia kama mfano siku zote.

mlianza na 6 lane roads kupunguza jam,tukaleta BRT.
mmenunua treni ya mafuta 2018,sisi tunaleta ya umeme 2019
tumepanua uwanja ili kuongeza matumizi jknia.
tumeshawaacha katika utalii.

kitu tumewaacha mfarijike nayo kwa muda ni GDP.nayo tunaipea 10 yrs.
We kill
 
Back
Top Bottom