Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😀😀😀
9BC6BA45-BC75-4E97-B322-AC57EC86F079.jpeg
 
sasa....leteni middle class estates....
in dar es salaam watu tunachanganyika hakuna mido class wala upper class!!unaweza kukuta mtu kasimamisha mjengo wake wa maana maeneo ya tandale,na wala hana noma wala nini..
 
Watanzania hatuishi kwa kujitenga kutokana na economic status...unaweza kuta mtu ana nyumba ya ghorofa jirani yake ananyumba ambayo haijaisha finishing na hao watu wanaishi kwa ujirani mwema bila shida.
wao wanafikiri sisi tunaishi kama wao!!Kenyatta na familia yake wana maeneo yao ya kuishi,na hawa wakenya walala hoi wanaishi hostel,kama huwezi kuishi hostel unaenda kuishi kwenye mabanda ya kibera,korogocho,kiambiu,au kayole slums!!
 
in dar es salaam watu tunachanganyika hakuna mido class wala upper class!!unaweza kukuta mtu kasimamisha mjengo wake wa maana maeneo ya tandale,na wala hana noma wala nini..
This means THERE IS NO PLANNING AT ALL

Hahahahaaa and you are proud of this?
What is wrong with you? Don't you think??
 
education ndo huwa inawaambia muwe mnaishi in classes,
yaani ni bora usiwe na elimu kabisa kuliko kuwa na elimu ya kijinga!!
Now ..let me get this stright...your way of thinking is that its ok to setup a highrise building next to a mabati shack...soo kwako ni kwamba tuseme for example the pinnacle ingekengwa in the middle of kibera...unacheki vile inareson.....no wonder you cant develop ...hamna akili...
 
The mighty Salenda Bridge is a reality now...kesho mkandarasi anatia saini litatoka Agha khan mpaka coco beach...wakazi wa Dar tutakua tunahighway juu ya bahari.View attachment 815815

Safi, ila hata mwanza kigongo ferry to busisi panaitaji daraja. Juzi nilikuwa navuka pale nilisubiri masaa 2 kutokana na msongamano. Najua itakuwa pesa nyingi sana lakini serikali ikiweza itasaidia sana kuokoa muda.
 
Back
Top Bottom