COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Twende ilikua hotel za mombasani nazipost sai ....sai nko Mombasa btw acha ni post maphoto alafu facts zinaonyesha Mombasa iko juu kitali kushinda dar is slumHeheehehe vipi mbona povu sasa mambo magumu😀😀😀😀😀😀😛😛😛
Nairobi iko league yake kivyake. na ni mainland. hakuna maBeach boy kama Dar.Nairobi ni independent msee
Na usiibe picha ya nchi nyingine tukikamata ujue umeshindwa kabisa nakupa fact maana usije toka povuuuu mapema😀😀😀Twende ilikua hotel za mombasani nazipost sai ....sai nko Mombasa btw acha ni post maphoto alafu facts zinaonyesha Mombasa iko juu kitali kushinda dar is slum
Sasa nimewaruhusu ingizeni Mombasa na kisumu mbona munakua waoga mm ndio nimewaruhusu ingizeni humu alaf twendeni kazi hahhhaNairobi iko league yake kivyake. na ni mainland. hakuna maBeach boy kama Dar.
naam! sasa naona umekubali mwenyewe kwamba Nairobi hauiwezi. kisha mwishowe utasema tukupe mji wa Nakuru.Sasa nimewaruhusu ingizeni Mombasa na kisumu mbona munakua waoga mm ndio nimewaruhusu ingizeni humu alaf twendeni kazi hahhha
Mombasa si chache
Hahhahhahaha naona unajichanganya enhhhh unajifanya huelew eti enhhhh hahhahahha hapa utaelewa tu mwaka wa unbelievable hhehhehehehhehnaam! sasa naona umekubali mwenyewe kwamba Nairobi hauiwezi. kisha mwishowe utasema tukupe mji wa Nakuru.
so in this case, Nairobi Wins! case closed. Fungua thread ya Dar vs Mombasa sasa.
Tulia wewe amefanya vizuri kuongeza mombasa isaidie nairobi maana maji shingoni hahahhahahaha😀😀😀😀😀😀mzae ametii na Nairobi. muache afungue ya Dar vs Mombasa.
Hahhahhahaha naona unajichanganya enhhhh unajifanya huelew eti enhhhh hahhahahha hapa utaelewa tu mwaka wa unbelievable hhehhehehehh
eh
Hhahhahaha mwaka mbaya huuu 2017 twende kazi hhahahahahah tusikimbiane tu humu sasa mombasa imekuja kusaidia nairobi bado kisum nayenyewe sijui kisumu mutaleta nn baiskeli au hhahhahahahahahhahahanakupata vizuri sana. ata hapa pia unakubali na kinyongo. yenu ni "tuta" "tuna" na "mwaka huu"
Ushaelewa?
Mwanza ni fake..man leta arushaCheck sample kidogo kuhusu Mwanza.
Mombasa maze ni konoma kumbe devolution husaidia...big up Governor Hassan Joho