tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
KiwangoView attachment 813965 tilapia hotel mwanza
KiwangoView attachment 813965 tilapia hotel mwanza
Hii sehemu nafikiri kuna madini, wakimaliza kuchimba madini ndio ujenzi utaanza.Pinnacle inarise mpende msipendeView attachment 813981 View attachment 813982 View attachment 813983 View attachment 813984 View attachment 813986 View attachment 813987
Uko sawa.Tutapost Hadi mkunie...we have like the tallest buildings in East Africa
Hii sehemu nafikiri kuna madini, wakimaliza kuchimba madini ndio ujenzi utaanza.

Hii project imekosa mpunga sio bure...haiwezekan daily hao jamaa wanacheza na tope tu apo hata kumimina zege na kusuka nondo washindwePinnacle inarise mpende msipendeView attachment 813981 View attachment 813982 View attachment 813983 View attachment 813984 View attachment 813986 View attachment 813987
mkuu tukimaliza uliyoyataja kenya tshawaacha mbali na tupo karibuni kyamaHatuna mpango wa kuipiku Kenya Malawi au Libya, tunaboresha nchi yetu watu wapate elimu huduma Za kijamii na uhakika wa chakula pamoja na Mali zao..
Hayo ndio ya muhimu kwetu
HAHAHAHAHA...Ngoja waje na data zao![]()
![]()
![]()
Leta data ya 2017/2018 pia..,Hawaonekani kwenye Top ten.
MPO ZAMA ZA KALE WAKENYA, PINDI MKIKUMBUKA SHUKA TAYARI NI ASUBUHI, TUMEJIPANGAHakuna competition hapo.
Tanzania endeni mshindane na Burundi.
Nungu wewe kingereza kimekuja kwa meli usijifanye unakijua kumbe unaendelea kuonekana hopeless. Wewe mweusi tiii utakijulia wapi kingereza!? Usidhani hapa tupo darasa la tatu. Kwikwikwikwikwi. Akili zako ni za kitoto sana.welcome to tanzania!
nugu
mwanza iko motooo aiseeView attachment 813965 tilapia hotel mwanza
hehhehe hzi picha tushaziona toka 2016 my friend wewe endelea kutuonesha renders tu inatosha😀😀😀Pinnacle inarise mpende msipendeView attachment 813981 View attachment 813982 View attachment 813983 View attachment 813984 View attachment 813986 View attachment 813987
unashindana na tanzania kwa kupokea wageni wakubwa wakubwa jibu swali basi😀😀😀😀😀Ichoboy hakuna hasira, nilitaka ujue ziara yake si Tanzania pekee., na yale mambo anafanya, and we are his country's biggest trading partner in EAC.,
Leo umenifrahisha sana
mzee anatubania sana vitu muhimuhehhe na zile hotel zao za masai mara per night 20 usd😀😀😀😀😀😀😀Africa Tourism Receiving Money
View attachment 813968
Hii sio ppf inajengwa buda....70 floors unthani ni mchezo? foundation lazima Ikuwe 100% Tough and then the hights game begin. Hapo ndio mtajua hamjuiHii project imekosa mpunga sio bure...haiwezekan daily hao jamaa wanacheza na tope tu apo hata kumimina zege na kusuka nondo washindwe