Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

walai sijawai ona mtu dwanzi kama Jichoboy. kujichocha ndio zake tu. unajisifia hoteli nzuri na hotel ya kwanza unapost ni ya mKenya, ilianza Kenya na hq yake iko Kenya. yours is just a branch and mind you, pesa zote zarudi nyumbani, Kenya.
Hahahhaahahha kataka mwenyewe kasema anaingiza mombasa kusaidia nairobi so nimemwambia twende kazi si anataka kupima nguvu za hoteli afungue kifua kama yeye mwanaume hata wewe unaeza msaidia kumbe mwenye Serena humjui hahhahahaha ngoja nikuoneshe nani mwenye nayoοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€ agha khan ndio kenya hehhehe
 
Na ukitaka nikupe mfano hai angalia kampuni ya dalbit ilikuja kuekeza kenya kwanza alaf wakaja Tanzania lakin leo kaangalia dalbit kaekeza wapi zaidi hata assets zake nyingi zipo Tanzania zikiweno magari na kila kitu hahhhhh hamuna bao Tanzania ni hatariiiiii katika assets za dalbit lorry 90 ziko Kenya lorry 350 ziko tanzania ......
 
walai sijawai ona mtu dwanzi kama Jichoboy. kujichocha ndio zake tu. unajisifia hoteli nzuri na hotel ya kwanza unapost ni ya mKenya, ilianza Kenya na hq yake iko Kenya. yours is just a branch and mind you, pesa zote zarudi nyumbani, Kenya.
Ndugu yako kakimbilia wapi hahahhaha ndio kasusa kabisa hataki kurudi mm niliwaambia mapema ingiza kisumu ingiza mombasa hamutatoboa kwa dar kamwe, mark my words
 
Na sijawapeleka Zanzibar bado hahhahahahah hatari tupuuuuuuuuuuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nionyeshe ni wapi aliposema "isaidie Nairobi" ww ni dwanzi my friend. Nairobi imewalemea sana. mulishindwa kuje the real capital city yenu ya Dodoma mukakimbilia beach which is a natural resource. sasa nyote mumekua maBeachboy
 
Sinimwambia akakubali hahahhaahahha tulia baba Dodoma iko njiani inajengwa usiku na mchana serekali yote ishaanza kuhamia Dodoma so be cool hhahahahahaha nakwambia Dodoma inajengwa usiku na mchana na subiri huu mwaka uishe nitakuletea Dodoma kwangu mm nikazi tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
dalbit ndio nini sasa?
 
so alisema "ikuje kusaidia?" jibu swali wacha kutapatapa
 
dalbit ndio nini sasa?
Hujui ni nn Google alaf utajua ni nn na huo ni mfano mdogo nimekupa nyie akili yenu hua inadhani Tanzania ni ile ya zamani hatujengi tumekaa sasa nakwambia Tanzania moto hakuna nchi cement ni bei rahisi sana kama Tanzania so watu wanajenga tu
 
so alisema "ikuje kusaidia?" jibu swali wacha kutapata
Nilimwambia good umeleta mombasa ije saidia Tanzania akasema anza kupost maana take nini hehhehheeehe au huelew kiswahili πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yeah ni ya pili kulingana na mistima
Hizo ni 40flr yurs ni 33flr

Najua we ni mtu mzima
Wanaeka minara juu alaf anakwambia urefu hahhh na je ukitolewa mnara au yeye akipima urefu anapima na kofia akili zao ndogo sana hawa
 
Hujui ni nn Google alaf utajua ni nn na huo ni mfano mdogo nimekupa nyie akili yenu hua inadhani Tanzania ni ile ya zamani hatujengi tumekaa sasa nakwambia Tanzania moto hakuna nchi cement ni bei rahisi sana kama Tanzania so watu wanajenga tu

hehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…