povuuuuu[emoji3] [emoji3]Sio hoja yeye au mkenya yeyote for that matter kutojua capital yenu ni gani coz we really dont care about what's happening down therevin danganyika. Huenda hata mimi sijui so usishangae sana. My point is, sisi hatufatii masuala ya TZ jinsi nyinyi mnavofanya kuhusu kenya coz hakuna kitu chochote tunajifunza kutoka kwenu. Juzi tu nilishangaa hap JF wengi wenu mnajua magavana wa Kenya kwa majina nayo huku mimi hapa hata vice president wenu siju jina yake. Baadhi wenu mnajua hadi deputy governors wetu by name.That's how trolling you people are!
kweli kabisaKuhusu vigezo vya jiji kila nchi ina sheria zake, ila nacho jua mimi sheria za nchi za E.A hazipishani sana kwenye hiyo ishu. Tuna eza tukatafuta Acts tukaziweka hapa kwa mjadala wenye afya zaidi.
Sio mbaya iko sawasorry I forgot to include the link in my earlier post in reference to your post. ndio hii hapa
Universities and Colleges in Kisumu County in Nyanza Province | Study in Kenya
Soma kisha uniambie ziko ngapi
sawa hiyo kenya sio ya mama yangu,Kenya ina wenye nayo!!na wenyewe ndo hao uliowataja hapo juu akina moi,Kenyatta and so called govt!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] One hell of a crap story infact In the whole of Western Kenya & Nothern Rift valley Hakuna Shamba ya Uhuru,Moi,Wala Kenyatta Central kenya is a very portion on land Compared to the whole of kenya..let me analyse for you large farms in kenya plus their ownerships..
1. Delamare- Lord Delamare
2. Kabarack- Moi 10k acres
3. Thika pineapple 120k acres-Govt.
4. Flower Farm Naivasha- Govt
5. Gichea farm-Uhuru kenyatta 20k acres"Gatundu"
- Haya niambie sasa kama Gatundu ni Kenya mzima infact Moi ako na land mingi kuliko kenyatta and none of them own any part of the vast western & far Eastern kenya so Next time Come with statistics sio kuropokwa hapa Kenya ni ya Kenyatta...hii kenya sio ya mamaako bana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ni wapuuzi sana hawa wakenta na kwa kweli umewapata yaani huyo nyang'au anaongea ongea pasipo na evidenceMlivyo kuwa mnasema vigezo vya Kenya nikahisi itakua tabu, sasa kwa vigezo hivi ata Iringa inaeza ikawa Jiji Kenya. Hiyo hapo urban areas and cities act, siyo mnapiga porojo tu humuView attachment 812469
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
taaratibu utaanza kuelewa kiswahili tu!sawa hiyo kenya sio ya mama yangu,Kenya ina wenye nayo!!na wenyewe ndo hao uliowataja hapo juu akina moi,Kenyatta and so called govt!!
sasa we jamaa unamwona Kenyatta alikuwa mjinga kutokuwa na ardhi northern Kenya??I believe,you've got an answer...
Teh teh teh. Sioni estate, mall wala flyover.Mlivyo kuwa mnasema vigezo vya Kenya nikahisi itakua tabu, sasa kwa vigezo hivi ata Iringa inaeza ikawa Jiji Kenya. Hiyo hapo urban areas and cities act, siyo mnapiga porojo tu humuView attachment 812469
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Tunasubiri kakaNimezaliwa Arusha Tanzania Baadhi ya Elimu yangu nimesomea Tanzania kidogo na Kenya zaidi (nitazitaja shule masomo, na baadhi ya classmates ikinibidi)
Leo miaka kadhaa baada ya kumaliza masomo yangu nipo nafanya kazi Uganda (nitataja eneo baadaye)
sina cha kujielezea sana ila naifahamu Kenya kwa ukubwa sana. Napafahamu Uganda pia japo sio sana na Tanzania ndio nyumbani mpaka leo.
Nazungumza Kiswahili safi na Kingereza vizuri sana Kiganda bado kinanisumbua ingawa mtu akizungumza naelewa anachomaanisha labda matamshi katika kujibu bado sijayazingatia vizuri.
Nataka kuandika ukweli kuhusu mjadala huu wa Dar es salaam na Nairobi kutoka moyoni na uzoefu wa kuishi maeneo haya sina haja ya kutuma picha au kuegemea upande niliozaliwa nataka kusema kwa faida ya wasomaji wote kwa nilichoona na rejeo kutoka katika maandishi nakala na majarida kadhaaa.
Najua siwezi kumaliza mjadala huu na siwezi kukubalika na wote kwa nitakachosema hizo ni changamoto tu ila najua nitakachokiandika kitakuja kusomwa hata baadaye sana na kueleweka na wengine baadaye.
Nitaanza kuelezea uimara wa Tanzania na Dar es salaam
Halafu nitaelezea uimara wa Kenya na Nairobi
Baadaye nitaelezea udhaifu na ubovu wa maeneo yote mawili
Mwisho nitavunja kwa Hitimisho Zito sana litakaloeleweka na wachache sana.
Nitaanza muda si mrefu na Pia sitajibu swali lolote(labda ikinibidi sana) mpaka mwisho wa maelezo yangu.
wakenya hawana akiliTeh teh teh. Sioni estate, mall wala flyover.
swafi kabisa japo ni moja ya mbinu yakuvutia wateja ili wapande ndege zao.....Pamoja kuwa wanapromote ndege zao lakn bado mapato mengi yanakuja Tanzania na pia wanasaidia kupromote mbuga ya serengeti
View attachment 812499View attachment 812500
open air market?wewe kweli ni kilaza hata kuchanganua mambo hauwezi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
business district zitakuwa vipi pasipo market
Nyinyi Nilidhani mlisema hamna debt. Eti nyinyi ni watu wa kujitegemea. Mbona nawaona hapo?kuna mjinga mmoja alisema kenya inadaiwa kidogo sana foreign debtππππππ
well apparently they claim Dar has better than this.To be frank Can you even compare Mombasa with dar really let alone mwanza!