Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2509C4C7-C459-4FB5-B764-2F68A03B0358.jpeg
tapatalk_1531831020656.jpeg
so unafananisha na bugando au swali langu hujalielewa nimesema nioneshe hospitali kubwa ya serekali kama bugando out of nairobi au kiswahili huelew???
Kwaivo kwa akili yako hii ambayo ni district hospital ya serikali si kubwa
tapatalk_1531831020656.jpeg
alafu hii yenyu imejaa uchafu ndio unapayuka hapa?
 
Kwa hivyo nyinyi hutumia population as a basis of promoting a town to a city status? Ndo maana siku zote tunasema hizo miji ni cities accriding to tanzanian standards. In other words, standard yenu iko chini. Kwa hivyo hata ile mji wenu wa border, Sirare, leo ijipate iko na watu nusu milioni mtaipandisha hadhi moja kwa moja na huita city??? kenya na TZ ni kama usiku na mchana, hazipatani hata kidogo
Labda uweke hapa vigezo vya mji kuwa jiji huko Kenya
 
mall ni mkusanyiko wa maduka tu nothing special kwa huku TZ ila Kenya panafanywa mahali patakatifu.
hawa watu ni wajinga sana ukiwaskiliza unaeza sema wako europe kumbe mavi ya bata😀😀
 
Back
Top Bottom