Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katika ukanda wa afrika mashariki hakuna ligi bora na yenye ushindani na udhamin wa kutosha kama ligi kuu ya Tanzania na ndio maana wachezaji wengi kutoka nchi za jirani huvutiwa na ligi ya Tanzania hata kΓ tika maendeleo y viwanja ipo juu
kweli kabisa
 
Stations za sgr ya Kenya hazipatikani mahali popote Afrika nzima. Hata South Africa hawatuwezi kwa hili. Ongeeni mbaya kuhusu train lakini sio stations.
Mchina station zao ni kama airport hata apo kwenu amewafanyia poa but[emoji16][emoji16][emoji16]izo train mnatia aibu
 
Mchina station zao ni kama airport hata apo kwenu amewafanyia poa but[emoji16][emoji16][emoji16]izo train mnatia aibu
sasa uone kipi chenye faida kati ya train au station heheh yani unajengewa station nzuri alaf unaletewa gari moshi za miaka 70 iliopita ni sawa na mtu kuvaa vest pekeake bila chupi na suruali alaf atembee barabarani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wajamaa mmepeleka Gdp yote ya Tanzania kwa meli na huku hamna hata umeme wa kutosha?
 
Wajamaa mmepeleka Gdp yote ya Tanzania kwa meli na huku hamna hata umeme wa kutosha?
acha hasira aliekwambia hakuna umeme wa kutosha nani au we unafkiri tunafanya mambo bila akili?πŸ˜€πŸ˜€ na siku modern electric train in africa ikianza mwakani ndio mutajua umeme upo au haupo
 
Ubaya Azam sea link 2 sio mali ya umma bali ya kibinafsi. Pongezi inaenda kwa Azam sio kwa serikali
sawa wacha nikuoneshe sasa mali za umma sawa ili ujue piaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…