Kuwa mpole annael..zinakam through..Leta street za Nairobi nakusubiri. Mbona unakodoa macho tu. Au unataka nioneshe slums za Nairobi?
![]()
Zinakam unaboa bana hebu tuache tuendelee na battle au unatakufanya editing kwanza. Nakusubir kwa hamu.Kuwa mpole annael..zinakam through..
mbudya island by indaressalaam, on Flickr
Sea cliff Hotel by indaressalaam, on Flickr
Sea cliff Hotel by indaressalaam, on FlickrUnaona kutoelewa maswali vizuri..nimesema street view ..kwani beach na resorts zimekuwa streets sasawoi..
hehhee anajichanganya tu😀😀😀😀Hizo ndizo street view? Au umeleta road view. Kwikwikwi ndiyo maana nikakueleza leta hint badala yake umechemka. Upotayari nikupe hint?
hasira zimepanda au presha😀😀😀😀Me here watching yal try to convince your egos View attachment 807201
Pole kijana. Unatakiwa ujipange. Naona umeshindwa. Wakenya hamnauwezo wa kujadili. Ona sasa unaanza kuleta mapicha ya ajabu ajabu mwisho wa siku utaanza kutukana.Me here watching yal try to convince your egos View attachment 807201
hasira zimepanda au presha😀😀😀😀
hamna presha..nyinyi ndo mumepanickyani ww kwa namba yoyote dar huiwezi kwa namna yoyote😀😀😀😀😀😀😀![]()
![]()
hamna presha..nyinyi ndo mumepanick
Punguza hasira babu na utulie ka maji ya kisima...endelea na mjadala...najua hyo kingereza imekuchanganya akiliyani ww kwa namba yoyote dar huiwezi kwa namna yoyote😀😀😀😀😀😀😀
unaomba street view alaf unapost road view leo nimecheka sana😀😀😀😀Punguza hasira babu na utulie ka maji ya kisima...endelea na mjadala...najua hyo kingereza imekuchanganya akili