hawawezi kubali ukweliHizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..
"ISLANDS hazipo NBO" [emoji23] [emoji23] [emoji23] UJINGA wa hali ya juu
MOMBASA jiji tulivu sana.Funny, very funny..... AL only compare dar with mombasa... Thats y unaona most Kenyans are not contributing to this silly thread
..Naomba nikuchokoze kidogo Annael ....hehehee.....what do you have to say to this?
View attachment 456011
Baaana nahesabu 13 yaani KUMI NA TATU we waonaje?
Westlands hatari kama umeme
Ukweli yaonekana kuwa chungu sana Kinyungu. Hawa hawawezi kubaliUkweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
"Endeleeni kuburudisha jamvi"Mkuu huo ndiyo ukweli Dar bado sana kwa Nairobi na wewe kama umewahi kuwa Nairobi unajua sema hapa mnafurahishana tu. Endeleeni lakini kuburudisha jamvi. Mi nasema kwa uzoefu wangu mkubwa wa miji hii miwili
Mjipange waTZKulinganisha dar na Nairobi ni sawa na usingizini na kifo. Nairobi ni namba nyingine tujipange.
Na vile naona mnatuchukia sitapokelewa na xenophobia kaka?Uje utembee, panaitwa Mufindi Lodge.
hehhehe density forget about it😀😀😀😀Umefahamu Eeeh.... You will get to where we are Don't worry
Problem is your radical xenophobic tendencies towards Kenyans.There are uncountable places like that in tanzania
"Endeleeni kuburudisha jamvi"
[emoji88][emoji88][emoji88]
alaf ukizama kwenye slums sasa ndio unaeza sema umeingia dunia nyingine😀😀😀Pale Nai ukitembea inabidi wakati wote uwe macho, Yaani simu, wallet na Kama una begi la laptop inabidi uwe makini navyo sana maana hata wahudumu wa hotel ni wakora hatari,
Maisha gani hayo aisee?
hehhehe density forget about it😀😀😀😀
Yaani najaribu kukueleza wewe akili yako ndogo kuliko sabuni za lodging, nduguSasa unataka tukusaidieje?
Kwikwikwikwi sindano imekuchoma vilivyo.Yaani najaribu kukueleza wewe akili yako ndogo kuliko sabuni za lodging, ndugu
View attachment 807088
Yaani najaribu kukueleza wewe akili yako ndogo kuliko sabuni za lodging, ndugu
View attachment 807088