Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..
hawawezi kubali ukweli
 
Funny, very funny..... AL only compare dar with mombasa... Thats y unaona most Kenyans are not contributing to this silly thread
MOMBASA jiji tulivu sana.

Hawa wanajaribu kula zaidi ya vinywa zao. Wanajilinganisha na JIJI KUU
 
Ukweli ni kwamba Dar bado itasubiri sana kwa Nairobi. Huo ndiyo ukweli. Mengine hapa ni ushabiki tu usio na maana. Dar tukaze buti sana kuifikia Nairobi
Ukweli yaonekana kuwa chungu sana Kinyungu. Hawa hawawezi kubali
 
Mkuu huo ndiyo ukweli Dar bado sana kwa Nairobi na wewe kama umewahi kuwa Nairobi unajua sema hapa mnafurahishana tu. Endeleeni lakini kuburudisha jamvi. Mi nasema kwa uzoefu wangu mkubwa wa miji hii miwili
"Endeleeni kuburudisha jamvi"

 
Pale Nai ukitembea inabidi wakati wote uwe macho, Yaani simu, wallet na Kama una begi la laptop inabidi uwe makini navyo sana maana hata wahudumu wa hotel ni wakora hatari,
Maisha gani hayo aisee?
alaf ukizama kwenye slums sasa ndio unaeza sema umeingia dunia nyingine😀😀😀
 
Sasa unataka tukusaidieje?
Yaani najaribu kukueleza wewe akili yako ndogo kuliko sabuni za lodging, ndugu

IMG_20180708_190924.jpg
 
Back
Top Bottom