game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,053
- 26,331
Pale Nai ukitembea inabidi wakati wote uwe macho, Yaani simu, wallet na Kama una begi la laptop inabidi uwe makini navyo sana maana hata wahudumu wa hotel ni wakora hatari,yani wanaskitisha sana yani maisha yalioko nairobi yenyewe unaeza tokwa na machozi😀😀😀😀
Maisha gani hayo aisee?
Upanga
view from Palm residence
view from Palm residence
view from Palm residence
view from Palm residence