ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nawasihi mtengeneze barabara bora View attachment 806391
hehehe tunazidi kupunguza unemployment rate
kenya 40%. 47 million people
tanzania 2.7% 53.4million people😀😀😀😀
Nawasihi mtengeneze barabara bora View attachment 806391
hehehe tunazidi kupunguza unemployment rate
kenya 40%. 47 million people
tanzania 2.7% 53.4million people😀😀😀😀
hehhehe deni litawachukua miaka 50 unacheza na mchina wewe😀😀😀😀😀😀😀Nawasihi mtengeneze barabara bora View attachment 806391
Piga yako ya mwisho ulale.punguza punyeto mbuzi we.
WE WILL BORROW TILL ETERNITY.i wanted to say 60% i.e. 52.8 bln! 7 bln less of which by end of this year will hit $60 bln! As u r planning to borrow more!
Mji wetu mkuu wa kitalii karibu sanaArusha napapenda sana, hii jiji ndio mgeifaya iwe capital iko na potential kubwa sana
New road bado hawajaanza tumia izo taa, umeme upo hadi unamwagikaTraffic lights zenyewe hazifanyi. Ni kama umeme hakuna. Nyinyi mkipata electric train treni zitakwama masaa Saba kwa sababu ya umeme

mamaaa,nini hii...!!!!!
we jamaa sio mzima..!!Sababu gani sasa? Surely don't you guyz have better things to do!? Mko too Lazy to that extent! In Kenya Hundreds of foreign and Local Flights Flock JKIA, Moi and Kisumu 24/7 hours round the clock... Infact Kuna watu wamaana sana Huingia Kenya Bila hata watu kujua after they are gone ndio tunajua... Ona vile Chris brown anaingia Mombasa (not even Nairobi... Mombasa!) While people are traveling from Nigeria, Tanzania, Uganda, Rwanda kuja Mombasa Consert yake including whiz kid View attachment 806174View attachment 806175View attachment 806177
Sasa ingekua Dar Ungeskia ni public Holiday![]()
![]()
![]()
That's how men do..!!men own their planes,they can't be proud of someone's planes..Wha! Nimecheka kuisha Fb... View attachment 806210View attachment 806211
Hii ndo upuzi gani naona on Jamii forums...sa itabidi nifunge hii account.mamaaa,nini hii...!!!!!
sasa ebu muwe mnatumia akili hata kidogo basi, kwenye battle ya dar vs nai,unawekaje picha za wanawake??what for??basi bora hata wangekuwa ma-celeb??Hii ndo upuzi gani naona on Jamii forums...sa itabidi nifunge hii account.
kenya airways kurudi kwenye faida hio asahau tena sasa hvi atarudisha ndege za watu kwasababu kashaanza kupata ushindani mkali sana kutoka kwa majirani zake😀😀😀😀😀😀View attachment 806493View attachment 806494View attachment 806495View attachment 806496View attachment 806497View attachment 806499View attachment 806500
sema nin... hii biashara ya usafiri wa ndege hapa East Africa imepamba moto sana... tutegemee ushindani mkubwa sana. Mambo yafuatayo yaweza kutokea ni either kampuni mpya kushindwa kuendelea na biashara au kampuni kubwa zilizowahi kutawala kuendelea kupata hasara kutokana na ushindani kutoka kampun mpya...hivyo kupelekea kupoteza soko na hata kuuza ndege zao kbsa na kupunguza ajira, hasa hasa Kenya Airways, Rwanda airways na ethiopia ... kitakachomvusha kweny ushindan huu ni yule tu mweny business plan nzuri na yule atakaekubali kuendelea na biashara licha ya kupata hasara kipindi hiki cha ushindani. Wazo tu!!
Hapa ndio uzalendo unahitajika sasa,siwez panda ndege ya jirani kama ndege ya ndani ipo na kwa safari ileile...View attachment 806493View attachment 806494View attachment 806495View attachment 806496View attachment 806497View attachment 806499View attachment 806500
sema nin... hii biashara ya usafiri wa ndege hapa East Africa imepamba moto sana... tutegemee ushindani mkubwa sana. Mambo yafuatayo yaweza kutokea ni either kampuni mpya kushindwa kuendelea na biashara au kampuni kubwa zilizowahi kutawala kuendelea kupata hasara kutokana na ushindani kutoka kampun mpya...hivyo kupelekea kupoteza soko na hata kuuza ndege zao kbsa na kupunguza ajira, hasa hasa Kenya Airways, Rwanda airways na ethiopia ... kitakachomvusha kweny ushindan huu ni yule tu mweny business plan nzuri na yule atakaekubali kuendelea na biashara licha ya kupata hasara kipindi hiki cha ushindani. Wazo tu!!
kenya airways kurudi kwenye faida hio asahau tena sasa hvi atarudisha ndege za watu kwasababu kashaanza kupata ushindani mkali sana kutoka kwa majirani zake😀😀😀😀😀😀
view from Palm residence by indaressalaam, on Flickr
view from Palm residence by indaressalaam, on FlickrwaTZ mpo hampo? Hivi pesa yote mnatumia kufanya nini kama bado mko LDC?
Mnalia hapa ati ooh Kenya tuko na madeni za watu kumbe NYANI HAONI MAKALIO ukweli
Nimecheka sana. Nilidhani nyinyi ni watu wa kujitegemea. Watu wa kutumia pesa zao.
![]()
![]()
nyinyi mnapewa pesa lakini hamjinufaishi, nyinyi mnanua ndege na mabasi View attachment 806369
Upanga jamaniiiiiview from Palm residence by indaressalaam, on Flickr
view from Palm residence by indaressalaam, on Flickr