Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni porojo TUUSAN.

UoN utafunzwa hizo courses zote umetaja (nuclear physics, neurosurgery, astrophysics.. nkdhk)

NBO malls ni social amenities tuu.

Infrastructure, financially, technologically, economically, politically, geopolitically.. You name it, hamuwezani na NBO
Elimu Hamna kitu extra ambayo Bongo hakipo hao neurosurgeons mko nao 7 kenya yote kama apa Bongo tu!!
 
Two more huku KQ ikiongeza 15-20 MORE!

TURUDINI tujadiliane kuhusu Dar. KQ msijaribu kugusa. Kampuni kubwa sana. Nyinyi ndio mnaanza ku REVIVE your birds. Nyinyi watoto kwa KQ

Kenya Airways Considers Acquiring Bombardier CSeries Jets
View attachment 804895
We lead the sky's of EA no exception
541556as.jpg
673131as.jpg
193375as.jpg
559167as.jpg
193375as.jpg
244379as.jpg
 
Wanakuja kusoma ordinary bachelors, even udsm,muhimbili & ardhi universities huja international students ,kwenye elimu mnyamaze kabisa. ..
So inshort you want to compare Dar with Nairobi interns of Education? we Lead East Africa in that too Mr
 
Iyo picha ya kwanza sio Kenya acha ukenge, pili brt inaingiza pesa ndefu kuliko sgr yenu ya mabilioni huoni nyie ni wapuuzi
UGUA POLEPOLE... MKO NYUMA SANA BANA... YOU GUYZ STILL LIVE IN DICTATORSHIP AND YET YOU WANT TO BE AT THE SAME LEVEL WITH KENYA
DDBYTRGUQAEBCkO.jpg
 
Hii ni porojo TUUSAN.

UoN utafunzwa hizo courses zote umetaja (nuclear physics, neurosurgery, astrophysics.. nkdhk)

NBO malls ni social amenities tuu.

Infrastructure, financially, technologically, economically, politically, geopolitically.. You name it, hamuwezani na NBO
Yaani mtu asiende Kusoma Nuclear Physics Japan au Russia aje asome wapi?
Kuna facilities au Labs hapo za kujifunzia? Naweza soma Molecular Biology Hapo Kenya?
Be serious.
 
Yaani mtu asiende Kusoma Nuclear Physics Japan au Russia aje asome wapi?
Kuna facilities au Labs hapo za kujifunzia? Naweza soma Molecular Biology Hapo Kenya?
Be serious.
Hahaha bora usdm unaweza soma molecular biology sasa Hawa nyumbu wanataka kujidanganya wana elimu kali..
 
Eldoret, Mombasa kwanza Eldoret to Amsterdam na Mombasa has almost same international routs as JKIA sasa sijui unaongea nini infact Isiolo international ilijengwa for international purposes (transportation of Miraa and Flower) to Europe, Asia
kumbe zinapeleka flowers sio binadamu haha ila wewe kweli ni kunguni😀😀😀😀😀
 
Kwa ambae hajasoma mnaweza mtishia sio wasomi
Now let me make this clear to you and your fellow Bongolala. When it comes to Roads, Aviation, Education,Malls, Economy, Artitecture and Technology. Don't ever dare compare yourselves with us Mtaumia bure sing about less important stuff like "BiAraTii" na Bongo Music but anything else please keep off you are no match to Nairobi kenya
 
Back
Top Bottom