Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Early Export Project!

Unadhani mzungu wa Tullow oil anaweza wekezea hizo pesa zote za kufanya exploration ya MAFUTA kama hakuna mafuta?

Discovered wells are estimated to contain this liquid gold of (800million-4billion barrels)

Nchi kama Nigeria wao pia wakianza early oil exportation walikua wanatoa roughly 5500barels a day.. Yet we are here.

Apana dharau waKenya. Hii chapter tumeifunga saizi!
 
budget ya tanzania ni 32 trillion , 75% internally and 25% externally
debt to GDP ratio tanzania ni 32%
kumbuka tanzania is building modern electric train in africa by its own source no debt, na imeshatoa 3.16b usd kwa phase mbili 700km from dar to dodoma na hapohapo ujue tanzania imenunua ndege 6 brand new no debt no leasing deal my friend na hapo hapo expansion of dar port is going on under 350m usd from world bank soft loan, BRT phase 2 ready to start under soft loan from AFDB ,

expansion of mtwara port and tanga port ready and yesterday mtwara imepokea meli kubwa ya mafuta 10000tons

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ niendelee au????
 
hamujafkia hata nusu ya mafuta yaliyopo uganda my friend just half hamujanusa na ukumbuke uganda will be transporting 216,000barrels per day through tanzania wakati nyinyi ni 2000barrels per dayπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Parliament on fire babaa uongo kutoka your type tumezoea ila bunge lenu linaweka ukweli wazi wazi... huyu mbunge anadanganya?
Umekazania sana hiyo video wakati hao ni Upinzani lazima waropoke vyovyote vile wapendavyo
leo hii Kenya Sukari ni Ksh 260
Sasa hilo anaifahamu huyo
Igeuze kwa shilingi ya Tanzania Wapi kwenye Afadhali
 
Hii Estate imepostiwa hapa mara 1 million, bado wasanii wa bongo hutumia kushoot videos. Inaonekana hamna any other good estates kama hii.
ile aliepost mwenzako ilipostiwa mara ngapi??? mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchunguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huku ndio WaChina watakuja kubarizi baada ya kufanya business in Kenya (Kumbuka AVIC african headquarters zinaundwa Westlands, NBO)
hq inajengwa alaf unemployment rate 40% hahah πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hamujafkia hata nusu ya mafuta yaliyopo uganda my friend just half hamujanusa na ukumbuke uganda will be transporting 216,000barrels per day through tanzania wakati nyinyi ni 2000barrels per dayπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
HUGE congratulations UGANDA.

waKenya hatushindani. WaKenya ni watu ambao wana mind their businesses. WaKenya si watu wa kujilinganisha na nchi yeyote. WaKenya ni watu wa ajabu.
 
saud arabia,UAE, Qatar 100% desert lakin huwez kuskia hawana chakula πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wakat wewe arable land anamiliki kenyatta na settlers wanapanda maua kupeleka ulaya wakat wakenya wananjaa na ukame

kenyatta and his family own land of keeping 20million kenyans
 
HUGE congratulations UGANDA.

waKenya hatushindani. WaKenya ni watu ambao wana mind their businesses. WaKenya si watu wa kujilinganisha na nchi yeyote. WaKenya ni watu wa ajabu.
hamushindani na mbona mulilia sana bomba lilivokuja tanzania why??? na matusi mulitukanaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Umekazania sana hiyo video wakati hao ni Upinzani lazima waropoke vyovyote vile wapendavyo
leo hii Kenya Sukari ni Ksh 260
Sasa hilo anaifahamu huyo
Igeuze kwa shilingi ya Tanzania Wapi kwenye Afadhali
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ HEHE POVU RUKSA
 
Saudi Arabia asante sana.

Saudis have oil. Largest oil producers in the world**

Uzuri wa hizi arid and semiarid areas ni Kuwa wana MAFUTA tena mengi sana. We are on this path
 
hvi wewe unaeza shindana na tanzania kwenye saruji???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ujue nimesoma maelezo yako nimecheka sna nimeona ulivomjinga sana yani ushindane na tanzania kwenye inflation hhahah pole sana mfuko wa cement bei ya jumla sasa hvi tsh 11000 50kg sawa na 480ksh sasa nioneshe ni wapi kenya nzima utapata cement 50 kg kwa 480 ksh ukipata nitagπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Saudi Arabia asante sana.

Saudis have oil. Largest oil producers in the world**

Uzuri wa hizi arid and semiarid areas ni Kuwa wana MAFUTA tena mengi sana. We are on this path
so have oil but huskii wana njaa nyie njaa inawauwa kila siku dont u have arable land au kwa vile settlers anapanda maua nyie mko radhi kufa njaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…