Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2020 skyline, Upperhill NBO,

Msije mkasema ati ooh renders.
Construction is ongoing.

Artistic juxtaposition of Pinnacle and Montave
 
rejea post yangu ya kwanza 1. kuna haja gani ya kufanya utafiti kujua watawala wa kenya ni wa kabila la kikuyu na washirika wao? rais wa kwanza wa kenya ni kenyatta - mkikuyu, rais wa pili moi-mkalenjini, rais wa tatu kibaki -mkikuyu, rais wa nne kenyatta mtoto - mkikuyu makamu wa rais rutto - mkalenijini. Hii siyo bahati mbaya, kenya kuna jamii za watawala na watawaliwa! wewe kwa inferiority complex uliyonayo umetoka jamii isiyostahili kushika madaraka
 
Nonsense! Hizi ni data za 2000s. Yangu ni data ya last week buda.

Kenya: 14.9 out of 50m gives around 29% of population below poverty line

Usidanganye waKenya. Wakenya ni watu on average very clever than the average African/Tanzanian
uhahaha alikwambia nani hio ni 2018 budaa pole sana kama ulikua hujuiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

twende kwenye unemployment rate sasa

kenya 40%
tanzania 2.7%. unanisha semaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
heheheh 46% kenya
tanzania 22%. hahahahhaha endeleeni kuishi kwenye slums za kidunia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe ni mjinga wa wajinga.
Unaleta ukabila kwa mjadala. Nilidhani hakuna ukabila TZ? So what if we have 10 Kikuyu presidents? Kenyans are very resilient we don't mind the presidency as much. After elections kila mtu anaendelea na kazi yake. Sio ati sasa wakikuyu watapewa pesa ama chakula. Na sio ati waKalenjin wataketi nyumbani waletewe asali.

Kenya in as much as elections ni polarising, at the end of the day waKenya watakubaliana Kuwa kabila ni mbili. The rich and the poor.

Akili yako ndogo kama sabuni ya lodging
 
Nonsense! Hizi ni data za 2000s. Yangu ni data ya last week buda.

Kenya: 14.9 out of 50m gives around 29% of population below poverty line

Usidanganye waKenya. Wakenya ni watu on average very clever than the average African/Tanzanian
utawadanganya wasiowafahamu wakenya ni watu wa hovyo sana, tuliokutana nao tunawafahamu ubabaishaji wa walio wengi
 
wewe ndio mjinga wa wajinga, hujui kwamba ubaguzi ni factor inayorudisha nyuma uwajibikaji? endeleeni na ufisadi na kupeyana madaraka na kazi kwa ukabila shame upon you
 
uhahaha alikwambia nani hio ni 2018 budaa pole sana kama ulikua hujuiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

twende kwenye unemployment rate sasa

kenya 40%
tanzania 2.7%. unanisha semaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Sasa hizo data zako za Indexmuli.com unaweza compare na za Business Daily ama Bloomberg? Indexmuli kwanza ni jitu gani?
 
Nonsense! Hizi ni data za 2000s. Yangu ni data ya last week buda.

Kenya: 14.9 out of 50m gives around 29% of population below poverty line

Usidanganye waKenya. Wakenya ni watu on average very clever than the average African/Tanzanian
Yaani kama hujawahi kuishi na wakenya unaweza kufikiri ni watu fulani amazing. Wewe danganya wakenya wenzio huko kuna mazoba kibao kenya huko na yamezagaa dunia nzima....clever than average African/Tanzanian my foot!
 
uhahaha alikwambia nani hio ni 2018 budaa pole sana kama ulikua hujuiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

twende kwenye unemployment rate sasa

kenya 40%
tanzania 2.7%. unanisha semaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Unemployment iko Kenya ndio. Kwasababu watu wamesoma sana.
Tunakuja huko TZ kuchukua hizo kazi zenu inaonekana at 2% kazi iko kwa wingi.

Wakishafungua mipaka za Africa waKenya Watakua everywhere na hamuezi shindana na sisi juu on average Kenyans are very clever and well educated kuliko average African/tanzanian
 
endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe
 
wewe ndio mjinga wa wajinga, hujui kwamba ubaguzi ni factor inayorudisha nyuma uwajibikaji? endeleeni na ufisadi na kupeyana madaraka na kazi kwa ukabila shame upon you
Kujadiliana na wewe mjinga wa wajinga Inafaa kua hatia. I'll be stooping so low for my standards arguing with you. Get something to do with your life.

Akili yako ndogo kuliko sabuni za lodging.
 
Eeeeh kama bado huna taarifa hizo ndizo the first SKYSCRAPERS in east and central africa and to some extent southern Africa
go on posting renders of pinnacle and montave plzπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
so mumesoma ili muwe wezi, mafisadi, πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kama no jobs to kenyans usifkiri ukora na ujambazi utaisha yani 40% of kenya population hawana job alaf unakuja panua mdomo wako hapaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
go on posting renders of pinnacle and montave plzπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Renders that are actually being realized on the ground. Na bado.

Hizo hapo ni SKYSCRAPERS sio HIGHRISE buildings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…