ww ndio upost picha halisi za dar sio kuforce kuchukua picha za siera lione na congo alaf useme dar πππ tulishawazoea ndio maana hatuna haraka na nyieIngekua vizuri kuchukua hizo picha unazodai kua sio Dar na kupost na sehemu hizohizo za Dar halisia ili tulinganishe na tubainishe kua ukweli hapo si Dar.. Bure tutakubali hapo ni Dar mkuu
endelea kuedit na kutoa machoziππππWatanzania wote wenye akili timamu kujeni hapa mhakikishe hapa sio dar
Yaani kumbe nje ya cbd dar hakuna kitu kijitonyama yenye mnashinda mkiiba ha pa ni majengo alalafu slum alafu hadi unaikana, cha muhimu umejua dar ni ya kulinganisha na Mogadishu kuanza leoππππendelea kuedit na kutoa machoziππππ
Is that so? Good for you. Sisi tumeundiwa juzi juzi tuInteresting, Tz built these things in 1970's, 2018 Chinese are building it for you, so funny.
View attachment 801344View attachment 801346View attachment 801347View attachment 801348View attachment 801349View attachment 801351View attachment 801353View attachment 801355View attachment 801358
ukheukhe endelea kuedit post na kutoa machozi naona sasa umekuja kivingineπππππYaani kumbe nje ya cbd dar hakuna kitu kijitonyama yenye mnashinda mkiiba ha pa ni majengo alalafu slum alafu hadi unaikana, cha muhimu umejua dar ni ya kulinganisha na Mogadishu kuanza leoππππ
Yaani mwenye alichukua iyo video ndege ikiwa juu kanifungua macho video dakika saba na kila mahali ni slum alafu wamaimba kibera hapaππππSisi tunaifurahia na kuikubali JIJI KUU
Nacheki nyinyi mnakataa kuikubali mji wenu. Sasa Itakuaje Dar imeizidi NBO kama wenyewe hawaifurahii mji wao? [emoji23] [emoji23]
na sisi tunajenga the modern electric train in africaπππππππIs that so? Good for you. Sisi tumeundiwa juzi juzi tu
endelea kujidanganya nakujifurahishaYaani kumbe nje ya cbd dar hakuna kitu kijitonyama yenye mnashinda mkiiba ha pa ni majengo alalafu slum alafu hadi unaikana, cha muhimu umejua dar ni ya kulinganisha na Mogadishu kuanza leoππππ
Mkuu unakwepa maswala nyeti bana. Wewe ndiye ulie Dar. Wewe ndio wa kuthibitisha ukweli ama uongo wa MJI WENU. Hivi tuseme hizo picha ni za kweli na tusonge mbele.ww ndio upost picha halisi za dar sio kuforce kuchukua picha za siera lione na congo alaf useme dar πππ tulishawazoea ndio maana hatuna haraka na nyie
Alafu ikimbie na umeme gani? Sisi waKenya ni watu wa taratibu. Hizi treni zinatumia diesel kwa sasa manze na bado Zi kasi (120kph na 100kph) SGR imejengwa in such a way that electrification will be done once we have the capacity from the COAL, GEOTHERMAL and WIND plants. Isitoshe, wenzetu ETHIOPIA wameunda mabwawa kubwa sana yenye itatoa 6000MW of electricity ambayo ni more than what they require, therefore they will export electricity to Kenya. Hii SGR yetu mnayo idharau itakuja kuwaonesha manenona sisi tunajenga the modern electric train in africaπππππππ
nioneshe sehemu ambayo ww una claim ni dar haha wewe usikimbie mjadala kama unayo sehem unayosema ni dar onesha hapa kama huna basi okota picha google kama mwenzio na useme darπππππMkuu unakwepa maswala nyeti bana. Wewe ndiye ulie Dar. Wewe ndio wa kuthibitisha ukweli ama uongo wa MJI WENU. Hivi tuseme hizo picha ni za kweli na tusonge mbele.
Watanzania nyinyi forever hamna haraka? waKenya ni watu wenye kuzingatia mda
sawa watanzania ni watu wasio na haraka ....forever[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu unakwepa maswala nyeti bana. Wewe ndiye ulie Dar. Wewe ndio wa kuthibitisha ukweli ama uongo wa MJI WENU. Hivi tuseme hizo picha ni za kweli na tusonge mbele.
Watanzania nyinyi forever hamna haraka? waKenya ni watu wenye kuzingatia mda
Hi picha ya kitambo nionyrshe uap, britam,prisim,kcb plaza alafu ndio tu discuss hii japa kijitonyama ya 2018 ndio hii hapa
BOTTAS mwoneshe hizo Picha kwa mara nyingine.nioneshe sehemu ambayo ww una claim ni dar haha wewe usikimbie mjadala kama unayo sehem unayosema ni dar onesha hapa kama huna basi okota picha google kama mwenzio na useme darπππππ
120km per hr na 80km per hr rekebisha kauli yako hahahahAlafu ikimbie na umeme gani? Sisi waKenya ni watu wa taratibu. Hizi treni zinatumia diesel kwa sasa manze na bado Zi kasi (120kph na 100kph) SGR imejengwa in such a way that electrification will be done once we have the capacity from the COAL, GEOTHERMAL and WIND plants. Isitoshe, wenzetu ETHIOPIA wameunda mabwawa kubwa sana yenye itatoa 6000MW of electricity ambayo ni more than what they require, therefore they will export electricity to Kenya. Hii SGR yetu mnayo idharau itakuja kuwaonesha maneno
mwambie alete hapa na uthibitisho mm ntamjibu kutumia google earth kitu mubasharaπππππBOTTAS mwoneshe hizo Picha kwa mara nyingine.
Mimi sina picha za Dar kwa sababu hainivutii ninavyovutiwa na NBO. nyinyi Hadi mna picha za Nairobi ni kama mnaimezea mate kwa umbali.. Namna gani?
so show me where is slum sina hakika kama unajua maana ya slum weweπππ au nikuoneshe slum vile inakaaHi picha ya kitambo nionyrshe uap, britam,prisim,kcb plaza alafu ndio tu discuss hii japa kijitonyama ya 2018 ndio hii hapaView attachment 801384