OMG!!!,I'm speechless....se-ronga i salute you bro.these photos are so attractive.
Naona facts umeishiwa wewe sasa hio unatuonesha nn au ndio inasaidia development au hhhahahahhahahahahhaha hauna tofaut na wanjala aliyuonesha farmajo kaja hahahha sasa farmajo anasaidia nnNairobi Urban Clothing, local brands.
View attachment 492371
I love Nairobi Tshirt by Duchi
View attachment 492372
M&B clothing
View attachment 492374 View attachment 492375 View attachment 492377
VAZZI Clothing
View attachment 492380
Epic Nation
View attachment 492381
Warn Trends
View attachment 492382 View attachment 492384 View attachment 492385
Wan Fam Clothing
Wewe unadhani City ni majengo tu wewe ni mshamba umekuja town juzi, kuna kitu huitwa urban lifestyle. Kama huna jibu ungenyamaza sio kunijibu upuzi.Naona facts umeishiwa wewe sasa hio unatuonesha nn au ndio inasaidia development au hhhahahahhahahahahhaha hauna tofaut na wanjala aliyuonesha farmajo kaja hahahha sasa farmajo anasaidia nn
Hahahhaahahha urban life utaiweza bongo wewe hahahha hii ndio city of pleasure hakuna mfano wake....hakuna sehemu utatoboa mbele ya dar niliwaambie ingizeni kisumu na mombasa na bado hamutoboi hahhhahhahahhaaWewe unadhani City ni majengo tu wewe ni mshamba umekuja town juzi, kuna kitu huitwa urban lifestyle. Kama huna jibu ungenyamaza sio kunijibu upuzi.
Mdomo mingi haisidii, act your talk au unyamaze.Hahahhaahahha urban life utaiweza bongo wewe hahahha hii ndio city of pleasure hakuna mfano wake....hakuna sehemu utatoboa mbele ya dar niliwaambie ingizeni kisumu na mombasa na bado hamutoboi hahhhahhahahhaa
We hua hujiuliza kwanin manzi wengi wa Nai wanapenda machalii wa bongo au hilo nalo hujui ahhaahhaha wanapenda free style za bongo watu wanajua kuvaa na kuonesha swaga sio nyie kwenye jua Kali mtu kalazmisha avae suti huku jasho zinamtoka hahhahahahhaahha bongo hatariiiiiiiiiiiiMdomo mingi haisidii, act your talk au unyamaze.
We unasema nini sasa, vile unaongea hata, sidhani kuna dem wa Nairobi anaeza ingia box yako. You are two different worlds aparts, form zako zinakaa za kuboeka tu.Hahahhaahahha urban life utaiweza bongo wewe hahahha hii ndio city of pleasure hakuna mfano wake....hakuna sehemu utatoboa mbele ya dar niliwaambie ingizeni kisumu na mombasa na bado hamutoboi hahhhahhahahhaa