Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kasome maelezo ya mwenzio vzr mamame leo lazma niwashkishe adabuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ata mimi na ngija hoteli inaitwa kempinsky villa rosa nje ya kenya na uache kuchezea watu akili, ivi we uko na miaka ngapi?
 
Hiyo ni kempisky? hehehe...where is the word kempisky there? kweli wewe ni punguani
leta link ya 25000 usd hapa msaidie mwenzako kuleta linkπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ata mimi na ngija hoteli inaitwa kempinsky villa rosa nje ya kenya na uache kuchezea watu akili, ivi we uko na miaka ngapi?
link ya 10000usd per night kenya nzima umekosa hahahhahahahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ leo kutamu sana humu
 
narudia tena mkenya yoyote aniletee link ua hoteli yoyote kenya nzima 10000 usd per nightπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mbavu zanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Ati hii 5ml usd? Unless wanauza kiwanja chenye imejengwa huu ni usaniiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
heheheh kisu kimekaa sehemu yake 5million usd hehheheheheh masaki baby utaua watu
 
leta link ya 25000 usd hapa msaidie mwenzako kuleta linkπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
uwache ujinga! nimekupa link ya villa rosa Kempinski, the only one in the world with that name naona sasa tumbo kakusokota. hapa aisee uwanja umeteleza, naomba ulete evidence kuwa kuna Kempinski nyengine duniani iitwayo villa rosa na kuwa link nilio itoa ni ya Kempinski nyengine. bila hivyo mbumbumbu zako upeleke vijiweni tandale.
 
heheheh kisu kimekaa sehemu yake 5million usd hehheheheheh masaki baby utaua watu
View attachment 799154
hizi ndio nyumba za $5mln nyi wabongo muache usaniiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hii ikija tz ndio itakua state house, alafu mtakaka kujilinganisha na sisi phewπŸ˜€πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
narudia tena mkenya yoyote aniletee link kua kuna hoteli yoyote kenya nzima kua ipo hoteli per night 10000usd πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
narudia tena mkenya yoyote aniletee link kua kuna hoteli yoyote kenya nzima kua ipo hoteli per night 10000usd πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wacha utoto hadi unakera na huu upizi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…