leta ushahidi hapaππππKempinsky vilarosa presdential suite ksh 1.5m ama $15000
Naona ngoma ishakuwa nzito kwako...tunajadili kuhusu nyumba za kurent wewe usharuka hadi kwa story za hoteli! Mambo na hoteli tulimazina juzi tu na sisi wote tunakua nani alikuwa mshindi. Wacha kuchange mada, kwa sahii tunajadili nyumba, sio hoteli. sawa mwarabu?uhahahha wakat tanzania kuna hotel ya 10000 usd per night πππππ ukiniletea hotel ya 10000 usd per night kenya nzima nitagπππ
uhahahha wakat tanzania kuna hotel ya 10000 usd per night πππππ ukiniletea hotel ya 10000 usd per night kenya nzima nitagπππ
192usd hahahahhππππKempinsky vilarosa presdential suite ksh 1.5m ama $15000
Come baby comeπππ
Hizo ni nyumba na kununua, sio za kupangisha. Mbona uko na haraka mdogo? Huku kwa nyumba za kununua pia tunakuja, usiwe na haraka. bado tuko kwa rentals
leo mumechezea kifimbo cheza humu ndaniππNaona ngoma ishakuwa nzito kwako...tunajadili kuhusu nyumba za kurent wewe usharuka hadi kwa story za hoteli! Mambo na hoteli tulimazina juzi tu na sisi wote tunakua nani alikuwa mshindi. Wacha kuchange mada, kwa sahii tunajadili nyumba, sio hoteli. sawa mwarabu?
25000 usd192usd hahahahhππππ
Villa Rosa Kempinski: 2018 Room Prices from $192, Deals & Reviews | Expedia
uhehheeh soma vzr for rentππππ nyumba iuzwe 8000usd unaakili tumamu weweHizo ni nyumba na kununua, sio za kupangisha. Mbona uko na haraka mdogo? Huku kwa nyumba za kununua pia tunakuja, usiwe na haraka. bado tuko kwa rentals
Hakuna value for money kabisa iyo nyumba Dar Ni $ 1500 tu Rudi nyuma...
Namwambia rent ya 10000usd ni kawaida sana kenya
hahahah yani hawa watu ni watumwa wa fikraππππππHakuna value for money kabisa iyo nyumba Dar Ni $ 1500 tu Rudi nyuma...
Nyumba za $2000 hazifanani ivyo
Wacha porojo leta nyumba zenyuHakuna value for money kabisa iyo nyumba Dar Ni $ 1500 tu Rudi nyuma...
Nyumba za $2000 hazifanani ivyo
ukhekhe udenda huoππππNamwambia rent ya 10000usd ni kawaida sana kenya
Iyo haraka yake ndo ntampeleka nayo wewe usijaliπππleo mumechezea kifimbo cheza humu ndaniππ
nimecheka sana leo watu wajinga mumejaa upuuzi
pole sana naona jasho jembamba linakutoka mgongoniπππππIyo haraka yake ntampeleka ndo nay wewe usijaliπππ
We've just proved you wrong. Wakati mnaruletea nyumba za Ksh 75,000 katika mitaa zenu tajika, huku Nairob kuna nyumba zinalipishwa hadi milioni moja za kikenya kila mwezi as rent. Za Ksh 250,000-Ksh600,000 nazo ziko everywhere. So umekubaliana nami?
Rudi pekee yakoπππHakuna value for money kabisa iyo nyumba Dar Ni $ 1500 tu Rudi nyuma...
Nyumba za $2000 hazifanani ivyo
Alafu tuliza wenge izo nyumba ziko mikocheni usipagawe game bado inaendelea, Masaki huoni nyumba za $3000>?75,000 ni rent ya nyumba kule Syokimau lakini Dar, hiyo pesa unapata nayo nyumba kule masaki...halafu wanapiga kelele vile Masaki sijui oysterbay ni mitaa ya nguvu kuliko yoyote ile Nairobi. hawa wabongo wanacekesha kweli....Nimemwekea ya Ksh800,000 ngoha niskie vile atasema