Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NMB HQ Dar es salaam
26593799550_6f587873b5_k.jpg
26866781685_860ed13319_k.jpg
 
kenyans while you are still wondering about the photos we're uploading if they were real taken in dar or not,plz listen to this amazing bongofleva hiphop track from chid Benz.

dar es salaam stand up
 
The only city in east and central Africa with modern marine transport
download (9).jpg
download (10).jpg
download (8).jpg
images (26).jpg
34070-4157609.jpg
zanzibar-ferry-dar-es-salaam.jpg
 
Wow!! Hatari lakini salama. Wakija hapa na picha zao zile zile. Unajua wanakuja kwa kuvizia.
Hakuna kitu watapost out of kenytta conference area hakuna kwan mm siijui nairobi hahahhahahahhaa
 
Wow!! Hatari lakini salama. Wakija hapa na picha zao zile zile. Unajua wanakuja kwa kuvizia.
ni kweli,kwa sasa wanakuja kwa kuvizia maana picha za maeneo yao wanayo amini ni mazuri nairobi karibia zote walisha zi-upload hapa.

dar es salaam ni kubwa na project za ujenzi wa majengo mapya unaanzishwa kila leo na kwa kasi kubwa.

kwa hiyo utashangaa kila mwezi sisi tutakuwa na picha za majengo mapya yaliyokwishwa kamilika/yanayokaribia kukamilika.
 
Dar is a fastest growing city on planet hawawez kushindana NAyO kila Siku nawaambia dar ni kubwa tena kubwa sana kwa nairobi hata wachukue city zao tatu nairobi kisumu na mombasa hawaipati dar ukubwa alaf wanaleta ligi za kitoto
 
ni kweli,kwa sasa wanakuja kwa kuvizia maana picha za maeneo yao wanayo amini ni mazuri nairobi karibia zote walisha zi-upload hapa.

dar es salaam ni kubwa na project za ujenzi wa majengo mapya unaanzishwa kila leo na kwa kasi kubwa.

kwa hiyo utashangaa kila mwezi sisi tutakuwa na picha za majengo mapya yaliyokwishwa kamilika/yanayokaribia kukamilika.
Sasa hivi tunasubiria tu progress ya Ubungo, Tazara, Salenda Bridge na majengo mengi kibao. Mbona watakimbia humu JF!!
 
Nani amefika ilala hapa akaona nyumba za chini zinavopigwa nyundo yani sio mchezo ILALA magorofa yanajengwa kila Leo na mpaka 2020 ilala nzima itakua magorofa so hebu imagine ukubwa wa ilala hehhehhehe bongo iacheni hehhh
 
Sasa tunaanza ongoing projects. Naomba wenzetu tusikimbiane.
 
Nani amefika ilala hapa akaona nyumba za chini zinavopigwa nyundo yani sio mchezo ILALA magorofa yanajengwa kila Leo na mpaka 2020 ilala nzima itakua magorofa so hebu imagine ukubwa wa ilala hehhehhehe bongo iacheni hehhh
Nyumba fupi fupi hazihitajiki sasa. Nadhani baada ya miaka mitano makazi ya watu Dar yatakuwa safi sana.
 
The Residency Situated near Baobab Village in Masaki, along Chole Road.
25818056681_4f4936a7e7_k.jpg
 
Back
Top Bottom