Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar ni kutamu kila siku!!unasubiri holiday wakati watu tunakula bata daily...
EAC yote hakuna jiji tamu kama dar aisee...
sasa kama kila siku unakula holiday, utafanya kazi saa ngapi?
 
usihofu mkuu mimi kazi nishafanya zamani huko nikiwa 20s..
sasa nina madogo wanapiga kazi mi ni mwendo wa bata tuuuuu 24 hours monday to monday..job naibuka nikiamua!!
 
[emoji2] [emoji2] mpe onyo asige atakufa njaa
 
usihofu mkuu mimi kazi nishafanya zamani huko nikiwa 20s..
sasa nina madogo wanapiga kazi mi ni mwendo wa bata tuuuuu 24 hours monday to monday..job naibuka nikiamua!!
nenda kijijini ukalime. wacha vijana wavunje mifupa. wazee kama wewe mjini ni sumbua tu
 
how do people survive kwenye nyumba wall ni mabati bado nashangaa sana aisee

deni la shs 140 ksh sawa na 2000 tsh inafanya mtu ajitoe uhai hvi wakenya wapi mlimkosea Mungu😱😱
hvi munaumaskini wa aina gani???? tena kijana kabisa 30yrs old

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…