inasumbua kichwa chako sana terminal three kumbuka pale kuna phase 2 baada ya one kuisha wakaunganisha na phase 2 😀😀😀 terminal 3 my friend is the biggest and modern terminal in east and central africa utake usitake
uhahaha sgr ndio usiguse kabisa hapo tunaongelea africa nzima under european standards😀😀😀😀😀usini-mind, najua haya mambo ni ya kushangaa huko ldc. hapa .ke ni kawaida tu. yani sgr terminal ni bomba kuliko chochote tanzagiza. usijali ila mtafika tu..
Hapa Zurich?
33 people kwa miaka miwili in tanzaniaendelea kuishi ldc....
View attachment 797946
View attachment 797947
View attachment 797948
View attachment 797950
uhahaha sgr ndio usiguse kabisa hapo tunaongelea africa nzima under european standards😀😀😀😀😀
terminal 3 ni fire yani ukigusa tu umeungua😀😀
yani magu anawakimbiza mchakamchaka hamulali usiku wala mchana
ukhakha na vp teni hzo za 50 yrs ago😀😀😀vipi, terminal3 vs Nairobi sgr terminus?? katambe au vipi??
young man, wake up from your slumberHapa Zurich?
hujajibu swali! umeanza kutapatapa!ukhakha na vp teni hzo za 50 yrs ago😀😀😀
ila mchina nuksi dah
young man, wake up from your slumber
Dar ni ya watalii hio watu hutoka Serious cities Kama Nairobi Kuenda Holidays hukoNaeza penda dar kama holiday destination..kunakaa raha tupu
Nairobi ni jiji la biashara.ndo maana kila kitu ni fasta-fasta...dar ni mji ya kurelaxDar ni ya watalii hio watu hutoka Serious cities Kama Nairobi Kuenda Holidays huko
Kabisa... Alafu hizi dwanzi zina Compare Nairobi na Dar... a fishing village with a Business hubNairobi ni jiji la biashara.ndo maana kila kitu ni fasta-fasta...dar ni mji ya kurelax
Usijali..kila mtu hapa Jf ni ego tu .me nimebarikiwa kutravel nchi mbali mbali ..dar si mbaya..exposure ndo inadetermine vile unaview dar and nairobiKabisa... Alafu hizi dwanzi zina Compare Nairobi na Dar... a fishing village with a Business hub
dah bongo raha sana mazee
Alafu ujue BRT ni upcoming project iko dar pekee 90% ni daladala