Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe we punguani kabisa sasa unaongea nini hapo .yaani nyasi bandia sio mihimu kumbe ndo maana Kenya nzima INA viwanja vibovu akili zenu ziko hivyo.kama ndo hivyo mbona fainali ya mwaka Jana iliamishiwa bongo wakati wa Everton yaani hamna hata haya
 
mbona umeandika kama unakimbizwa na kanjo askari wa nairobi?.

"articial" ndio kitu gani?.
 

Inaonekana swala la viwanja vya soka hulijui vzuri ...
Most of pitches zinatumia artifical turf..na manufactures hawawezi wakaharbu soko lao ..kutengeneza artifical turf ..most of venues in europe use artifical turf mixed with natural grass ..na almst 6stadiums in Tz have hybrid grass
 
Kuna hoja ya viwanja, vp una la kujibu?
Wewe umeingilia thread katikati halafu unaanza kupiga kelele kama wazimu...huu uzi iko na thousands of posts so kwa akili yako unaona watu walikuwa wakidiscuss viwanja vya michezo kutoka ukurasa wa kwanza? Typically danganyikan
 
mbona umeandika kama unakimbizwa na kanjo askari wa nairobi?.

"articial" ndio kitu gani?.
Bora umenielewa, that's the most important thing...Such playing surfaces zimejaa kenya....kisumu alone has two of them. Mombasa has like three if am not wrong....in this era, you should not even be posting playing surfaces with artificial grass
 
Bora ya huu Mara mia kuliko afraha sijui kasarani yaani Kenya ovyo kabisa
kasarani imetuletea Gold,silver na bronze mingi sana.
imetuuza worldwide kwa mchezo wa rugby,volleyball,netball hadi swimming... old is gold
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…