i can guarantee you, uki master kiswahili cha tz, utakuwa una-date na watoto wazuri wa nairobi.Mimi tangu nijiunge na jamii forum kiswahili changu kinazidi kuboreka asante kwa jamii forum
hebu andika Kiingereza nicheke plsHaha hiki kiswahili kimevunjika sana..
Jifunze
Sheng ni Lugha ya majambazi!i can guarantee you, uki master kiswahili cha tz, utakuwa una-date na watoto wazuri wa nairobi.
kiswahili kipo very romantic na watoto wazuri wa nairobi wanavutiwa sana na chali anayebonga kiswahili kizuri hasa cha kitz.
nakumbuka siku nikiwa kwa matatu hapo nai, simu yangu iliita halafu kwa siti alikuwa amekaa dem mmoja mzuri sana.
aliposikia vile nilivokuwa naongea kiswahili yangu kwa simu, she got very excited and couldn't hide her feelings towards me.
long story short, tukawa mabeshte na tuka establish a short term relationship.
thanks to my tanzania swahili. kenya girls love it.
achana na sheng, lugha ya wakora na machokoraa wa nairobi.
Important priorities first. No one around me has ever complained about my communications skills, so me niko sawa.
hii ni warning yaani jamaa wana IEDs, crude oil convoy toka Lokichar is a next target. 😱tushajua alshabab munaweza plz wasameheni ndugu zetu MLDC😀😀😀😀😀
haswaaa.Sheng ni Lugha ya majambazi!
Unakumbuka niliweka thread humu Mombasa Hotels vs Zanzibar Hotels wakaleta mgomo mpaka ikafutwa!battle ya hotel walishashindwa kitambo... hawataki hata kuisikia.
wamuulize waziri wao wa masuala ya utalii, najib balala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ya daraja la Kigamboni na sasa ya Tazara?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] YAANI Dar haina by pass!! ??.. Alafu bado inaitwa Jiji [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kufika A-town lazimakama uko na doo ya kutosha vuka boda kuja A-Town kwa vacation ule bata...i can offer to be your host for one week.
i'm in Atown as i'm writing this.
Wewe ni mbleina kama kawa, but we ron care.Sheng ni Lugha ya majambazi!
Nikama madem wenyu basi wanapenda majambazi, coz ive gotten them using my shengi can guarantee you, uki master kiswahili cha tz, utakuwa una-date na watoto wazuri wa nairobi.
kiswahili kipo very romantic na watoto wazuri wa nairobi wanavutiwa sana na chali anayebonga kiswahili kizuri hasa cha kitz.
nakumbuka siku nikiwa kwa matatu hapo nai, simu yangu iliita halafu kwa siti alikuwa amekaa dem mmoja mzuri sana.
aliposikia vile nilivokuwa naongea kiswahili yangu kwa simu, she got very excited and couldn't hide her feelings towards me.
long story short, tukawa mabeshte na tuka establish a short term relationship.
thanks to my tanzania swahili. kenya girls love it.
achana na sheng, lugha ya wakora na machokoraa wa nairobi.
ni ile ya 80s😀😀uhahaha hasira imekushika enhh na tz sio ile ya 90s😀😀😀😀😀😀
hahahaha...hahahaha my friend sijawahi ona dem mtz anavutiwa na sheng i swear.Nikama madem wenyu basi wanapenda majambazi, coz ive gotten them using my sheng
huhuhu weee kadodahaswaaa.
katika maisha yangu yote ya kuishi nairobi,sijawahi kuona mkenya decent anazungumza sheng.wengi wao ni kiswahili (japo kiswahili chao hakivutii) na kingereza.
sheng huzungumzwa zaidi kwenye mageto ya watafuna miraa na yale maeneo duni ya kariobangi, mathare, kibera nk.
Hahahaa nikiwa Arusha wedding February walivutiwa na kiingereza changu sana...accent ya Ohio.hahahaha...hahahaha my friend sijawahi ona dem mtz anavutiwa na sheng i swear.
labda uniambie kingereza.
yah... watoto wazuri wa kutz huvutiwa sana na kingereza ila sio sheng mazee.Hahahaa nikiwa Arusha wedding February walivutiwa na kiingereza changu sana...accent ya Ohio.
Sasa ni wewe mkenya ama mimi?hahahaha...hahahaha my friend sijawahi ona dem mtz anavutiwa na sheng i swear.
labda uniambie kingereza.
nimeongea kwa kutumia uzoefu wangu wa kuishi kenya na uzoefu wangu wa kuwajua madem wa kitz.Sasa ni wewe mkenya ama mimi?
Ni kweli tulishindwa...tulishindwa na kina hong kong hotel...hehebattle ya hotel walishashindwa kitambo... hawataki hata kuisikia.
wamuulize waziri wao wa masuala ya utalii, najib balala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]