Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
kwa hiyo a.c kwako ni kitu cha ajabuendelea kupigwa na jua huko site. sisi tuko ofisini tunapigwa na a.c

kwa hiyo a.c kwako ni kitu cha ajabuendelea kupigwa na jua huko site. sisi tuko ofisini tunapigwa na a.c

usimkane artist wenu yule ni yeye

asante jubilee kwa kupeleka highway county ya turkana sasa jubilee chukueni mafuta mutakavyo
View attachment 795827










dongo kundu...icho please inatosha.... mbavu zangu zinauma sana kwa kucheka.tunafahamu kua mombasa city hakuna bus stage sasa tumewajengea maeneo ya dongo kundu😀😀😀
but ombi letu musimpigie kura sultan 001 ama sivo wajameni
na bus stage yenyewe hii hapa shangilia kwa jubilee
View attachment 795843
View attachment 795852














sisi hatuangalii hii county ya nani sisi tunapeleka maendeleo mbele, na tunajua hii ni ngome ya raila lakin hatukuangalia hio sisi tumeleta maendeleo na sasa nafungua bus stage ya kisumu😀😀😀😀makofi kwa rais uhuru
View attachment 795858















sasa watu wa wajir county hamutaskia tena alshabab tumeanza kujenga ukuta mrefu kwenye mpaka wetu na somalia au sio wajameni jubilee juu😀😀😀
tunataka tulae kwa amani au sio wajameni
View attachment 795868 View attachment 795869 View attachment 795870 View attachment 795871 View attachment 795872 View attachment 795873









