Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

azam fc


simba sport club


yanga fc



singida fc



mbeya city fc




stand utd bus




mbao fc


mtibwa sugar



maji maji fc
 
Yes, I agree the buses are beautiful lakini msiseme ati Kenyan clubs haina buses. Kwa magari hata mi nimetii.
mbona unatapatapa kijana...tulia shindao ikuingie. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Basi sio MPIRA... Mpira ni Vikombe na titles ama niaje
titles pekee sio mpira katika zama hizi za kileo.

mpira ni biashara na timu ya mpira ikitangazwa vizuri inaweza kuwa brand kubwa ambayo kibiashara inaweza ikatumika ku-generate fund bila hata kushinda mataji.

kwa kuliona hilo, club za tz zimewekeza sana katika brand ndio maana unaona club zote za mpira zinazoshiriki ligi kuu tanzania, zina mabasi ya kisasa kama timu za ughaibuni.
 
Hii azam kwanini Haiko kwa Ligi[emoji1] [emoji1] ama haiku qualify
ligi ipi unauliza? ya kenya ya tanzania?.

kama ni ligi kuu ya tanzania,azam fc ni mshindi wa pili wa league kuu ya tanzania ya vpl 2017-2018.

last season, azam fc ilikuwa ni mshindi wa tatu. vitu vingine msiwe mnauliza, muwe mna Google kwanza. otherwise mtakuwa mnajidhalilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…