Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yaani wanapata tabu sana
 
hehehe mkenya mmoja anaongea upuuzi eti sport pesa wanafadhili yanga na simba hahaha nimecheka sana na hajui leo kua hzo ndio team tajiri east africaπŸ˜€πŸ˜€
huyo jamaa ni kituko............hajui hata maana ya ufadhili..........
 
ila chakufurahisha kwa kenya aliidhamini team yao ya taifa na club zao na hii yote kwa sababu hawana amount kubwa hivyo wanadeal na vibonde wa kenya.....halsfu soon hizo chata kwenye jez tutazitoa...m
 
6.43b
waaah sikuwa najua iyo
 
na wanaodhamini ligi kuu ya tanzania ni vodacom hehehehehh πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
View attachment 794324
Sasa si unaona jinsi ulivyo mjinga? Ni wapi nilisema sportpesa inadhamini ligi ya Tanzania? Vidacom inadhimi ligi ya Tanzania wala haidhamini timu yoyote kwenye hiyo ligi. Kila timu iko na mdhamini wake in this case sportpesa for yanga and simba. Get the difference between sponsoring a league and sponsoring a team. Take England for example. The English leageu is called Barclays Premier League because Barclays bank is the sponsors of the league but they DON'T sponsor any team in that league. Each team has their own sponsors. Arsenal have Fly Emirates, Man utd have Chevrolet, Chelsea have Samsung, Everton have SPORTPESA, Man City Etihad Airways and so on and so forth. Jielimishe kidogo
 
Ukatae ukubali lakini ukweli itabaki pale pale hadi hiyo sponsorship deal iishe....kelele yako hapa JF haitasimamisha huo mkataba. Board ya yanga au simba hata hawana habari kwamba unapiga kelele huku kuhusu hiyo deal yao na sportpesa. Endelea kujifariji
 
ila chakufurahisha kwa kenya aliidhamini team yao ya taifa na club zao na hii yote kwa sababu hawana amount kubwa hivyo wanadeal na vibonde wa kenya.....halsfu soon hizo chata kwenye jez tutazitoa...m
When and where did sportpesa sponsor kenyan national football team? Endeleeni kukana mambo yaliyowazi.
 
Hehehehe

aptantech.com/2017/05/sportpesa-announces-5-year-sponsorship-deal-with-simba-sc-of-tanzania/

www.azaniapost.com/m/sports/simba-sc-signed-5-years-deal-with-sportpesa-h3456.html

Simba pekee yake walipewa Ksh 225 million na unatapika ujinga hapa. Ukisoma hizo links utaambiwa hiyo ni record deal ya sponsorship Simba imewahi kusign. Yani hawajawahi kupokea udhamini wa kiasi hicho tangu izinduliwe. Alafu unatuambia jinsi inadhaminiwa na matajiri wa tz!!!!!
 
But why simba or Yanga??
 
go tanzaniaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hii yote ni repetition naona hata kambi iko 100km away wanatumia the same picture and videos za kambi ya mwanzoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani kazi au vyuma vimekaza.
 
When and where did sportpesa sponsor kenyan national football team? Endeleeni kukana mambo yaliyowazi.
hakuma kilicho wazi tunachokuambia ndiyo ukweli sportpesa si kitu hapa tz.......haina mchango wowote wa maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…