Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i knw the place is called kondolee hapa ndipo watu wa hali ya chini sana huishi kwenye vibanda vyao
View attachment 791619
kupo rafu sana halafu sijui hiyo highway wameijenga kwa nini...[emoji2] [emoji2]

maana bado mji hauna mahitaji wakuwa ni hiyo kitu.....after 50yrs foreni kama kawaida.....wakenya hawafikirii future
 
Nilipita hio barabara weekend iliopita
 
wanatakaga kota.......sasa wazichek juu jinsi zinavyo shine....
 

 
your admins made sure I never use the app.
nasema keta estate za kisumu alaf tuone kama utabaki humu salamaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ is kisumu a city wallah sijapata ona town ya kipuuzi kama kisum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…