Nairobi imejaa ma Buildings infact When you approach Nairobi from any Direction Utazionea Na Mbali sana at about 1 hour to Nairobi utazionea mbalii.... Ndio kwamaana inajulikana kwa BuildingsNi kwasababu majengo hayo ni marefu kulinganisha na mengine na pia yako pembezoni mwa fukwe, hata kama yangekuwa Nairobi yangeonekana kwenye kila picha.
Ungejua Buildings zinajengwa Kenya sahii sijui by 2020 utajitetea aje
amiliki kwanza hata probox alaf aje sasa tuzungumze vzr ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Miliki kwanzaaaa๐
ijaribu alaf uone just bring kisii alaf uone mwenyewe๐๐๐๐๐ tukiwaambia tanzania hamuijui unabishaHahaha....yani tanga ni city. Tanga hata kwa kisii ni ndogo sana. Yani kule tz kila town ni city
we jamaa jau sanaYani Dar ukipiga picha from any angle lashima camera ishike those three blue buildings. Alafu ona vile hiyo sehemu huyo jamaa amesimama ilivorust yet it's only a walking distance from those towers meaning haiko mbali na cbd
try and u see mm hua sitaki porojo ni vitendo tuaisee nilicheka sana kusikia ati Tanga nalo pia ni jiji [emoji23]
7 midogo sana sema 20 labda๐๐๐๐Kwan najitetea hapa ..and by 2020 u mean 2025 au maana ni avic towers tu zitaisha 2020 nyingine mnakama miaka 7 ya kusubir
Nairobi imejaa ma Buildings infact When you approach Nairobi from any Direction Utazionea Na Mbali sana at about 1 hour to Nairobi utazionea mbalii.... Ndio kwamaana inajulikana kwa Buildings
akikujibu nitag plzUnataka kusema nai ina majengo "mingi" kuliko Dar?
Unataka kusema nai ina majengo "mingi" kuliko Dar?
Unauliza jibu.Unataka kusema nai ina majengo "mingi" kuliko Dar?
apartments pekee nai ni zaidi ya 10,000.Unauliza jibu.
Unataka kusema nai ina majengo "mingi" kuliko Dar?
this is one sad fella