vovote upendavo lakin ukae ukijua dar ndio kiboko yenu πππna mshukuru jamii forum imewafungua sana akili na mawazoUnasemaje kutoka leo nianze kuita Dar es salaam dara salimaπππ. Ama unasemaje kaka?
Wakiona hatujishughulishi na mabarabara mapana wanadhani hatuna pesa,kumbe akili ziko kichwani.zilijengwa bila mawazo sahihi yani walichofanya ni kupanua barabara zile zile instead of kubuni barabara mpya ndani ya jiji hehehπππ
ukiwaambia ukweli tu wanakua wakali sana
na niliwah kuwaambia dar ina barabara nyingi sana in km kuliko nairobi wakakubali sasa hawajui kua tunabuni njia tofaut tofaut za kupunguza foleni ndani ya jijiWakiona hatujishughulishi na mabarabara mapana wanadhani hatuna pesa,kumbe akili ziko kichwani.
What About This How does all of this Tanzanians Survive in Maganda ya Ndiziunajua mm swali najiuliza how do people survive ndani ya hzi vibanda wall ni mabati π±π±π±π±
yani najiuliza na jibu sipati aisee
Ata Mogadishu,khartoum na Kinshasa wako na barabara mingi kuliko Nairobi...tunaongelea modern roads achanga upuzi mshambana niliwah kuwaambia dar ina barabara nyingi sana in km kuliko nairobi wakakubali sasa hawajui kua tunabuni njia tofaut tofaut za kupunguza foleni ndani ya jiji
What About This How does all of this Tanzanians Survive in Maganda ya NdiziView attachment 788633View attachment 788634
modern roads unazijua ww?? na unapoongelea modern roads according to u unamaanisha nn ??? au unamaanisha gari za watu binafsi zisiingie CBD jumatano na jumamos????ππππAta Mogadishu,khartoum na Kinshasa wako na barabara mingi kuliko Nairobi...tunaongelea modern roads achanga upuzi mshamba
do u have evidence about that na povu pia ruksaππππ na ww kama kidume cha mbegu weka evidence hapoWhat About This How does all of this Tanzanians Survive in Maganda ya NdiziView attachment 788633View attachment 788634
anamweza nani kama kaleta ushahidi asemeππ hua anajitekenya alaf anacheka mwenyeweππ akiombwa ushahidi hua harudi tenaππππ Wewe ndiye unawawezaππππ
Hii haiko hata Kibera... Alafu wanatuekea CBD hapa nikama wanaishi huko[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wah! LDC Maisha magumu.
Concrete Evidence Mr Ama Untaka nikuaibishe leo usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23]do u have evidence about that na povu pia ruksaππππ na ww kama kidume cha mbegu weka evidence hapo
wakenya niwapuuzi wanadhani nchi zilizoendelea zilijenga tu zile barabara kwa fashion haeajui kama vitu vinatengenezwa kulingana namahitajiWakiona hatujishughulishi na mabarabara mapana wanadhani hatuna pesa,kumbe akili ziko kichwani.
leta evidence kua hapo ni tanzania πππConcrete Evidence Mr Ama Untaka nikuaibishe leo usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23]