Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

is that link hehehhe mkenya boya kweli wewe
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hio ndio link
unaogopa kutuma link ushajua wapi ntakukamata hehhe na ningekunyoosha mpaka ungepachukia jamii forum
Hakuna haja nikuletee link na nimejua hutasoma, so nimescreenshot ili kila mtu aone
 
Hakuna haja nikuletee link na nimejua hutasoma, so nimescreenshot ili kila mtu aone
tuma link hapa kama we ni mwanaume unajiamini alaf uone vile ntakufanya hutakaa kunisahauπŸ˜€πŸ˜€
 
ndugu yako anaogopa kutuma link hahahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ashajua kibano chake kitakua siyo cha nchi hii
TNi nini maana ya link?πŸ˜€πŸ˜€...Niambie ndo tuendelee coz it seems you are empty upstaires
 
Ppf wanajenga a big conference centre hapo pembeni ya hilo tower ..plus mlimani conference centre and TCAA conference centre .. sam njuoma road inazid kuwa [emoji91][emoji91]
hawa watailewa tu dar walijua bado ni ile tz ya 90s
 
Hivi nyinyi hakuna picha ya Dar mnayokubali ni Dar apart from the 3 towers and BRT?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hasa mama sehemu siyo yenyewe tukubali ilu iweje...?...sehemu ikiwa dar mbona tunawakubalia mfano jangwani tumewakubalia nakuwarekebisha kama jangwani sasa hivi ni kupo open nyumba zilivunjwa
 
hasa mama sehemu siyo yenyewe tukubali ilu iweje...?...sehemu ikiwa dar mbona tunawakubalia mfano jangwani tumewakubalia nakuwarekebisha kama jangwani sasa hivi ni kupo open nyumba zilivunjwa
na wakitaka ushahidi wa jangwani waseme tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…