Bro unaijua bendera ya ureno(Portugal)???cr7 alikuwepo uwanjani Jana.Iyo bendera iko hapo mbele mnaiona kweliView attachment 787594
Hujawahi kujifunza mchango wa hizo kwaya kwa usingizi???halafu kukinyesha usiku ni choir tupu, hakulaliki
We don't have time for that kind of life Nairobi ni Chap chap People Work Hard and fast Hakuna time ya Kusettle... People settle Maybe in satellite areas wakisha retire and I don't Think mtu wa kawaida anaweza afford Land Nairobi... Land Huku Ina value Mingi saaana
Bro nikikupa picha ya Sudan niseme ni Kenya utakubali??Hivi nyinyi hakuna picha ya Dar mnayokubali ni Dar apart from the 3 towers and BRT?πππ
Hujui hata bendera ya Portugal?Bro unaijua bendera ya ureno(Portugal)???cr7 alikuwepo uwanjani Jana.
Ingawa hiyo haionekani vizuri but hata ingekuwa ya Kenya kwani wakenya hawawezi enda kuona mechi hapo??
sawa pastaHujawahi kujifunza mchango wa hizo kwaya kwa usingizi???
Enda Google play tafuta moja uistall kwa ajili ya kulalia usingizi cool.
Nyi hamjaikubali picha yoyoteBro nikikupa picha ya Sudan niseme ni Kenya utakubali??
I bet hata bendera yako hiujui,embu kagua hiyo vizuri.Hujui hata bendera ya Portugal?
Sio zetu sasa tuzikubali kwanini??Nyi hamjaikubali picha yoyote
Ulienda kanisa kweliπππ...Hawa wakorino huomba siku ganiI bet hata bendera yako hiujui,embu kagua hiyo vizuri.
Sasa wewe unataka kusema huu ni mji gani? Saa zingine kubalini ukweli, wakati mnaweka picha za Kibera humu sisi hukubali. Picha inaonekana wazi ni Dar, mandhari yake ni Dar, hata ukiilinganisha na Dar kwenye Google maps zinafanana lakini mnapinga tu. Hivi hapa ni South Sudan?Bro nikikupa picha ya Sudan niseme ni Kenya utakubali??
have a look on this hio ni mathare slum nairobi unabisha nikuletee ushahidi sasa hviπππππ
Ambatanisha na placetag basi.Sasa wewe unataka kusema huu ni mji gani? Saa zingine kubalini ukweli, wakati mnaweka picha za Kibera humu sisi hukubali. Picha inaonekana wazi ni Dar, mandhari yake ni Dar, hata ukiilinganisha na Dar kwenye Google maps zinafanana lakini mnapinga tu. Hivi hapa ni South Sudan?
nilimwambia alete link ya hio picha kua hapo ni dar kwani alileta mpaka leo hajaletaπππAmbatanisha na placetag basi.
Google nao wamekuwa wapuuzi.
Lakini anakukaba ukubali kwamba hapo ni dar,sijui wanafanyaje mambo yao hawa.nilimwambia alete link ya hio picha kua hapo ni dar kwani alileta mpaka leo hajaletaπππ
Hata mkatae ukweli bado utabaki hapa ni darGoogle nao wamekuwa wapuuzi.
Unaomba picha za dar wanaleta za Nairobi,ni utaratibu umebadilika??
Yaweza kuwa penyewe lakini bado najiuliza placetag ni ngumu kiasi gani kuweka!!!!!??Hata mkatae ukweli bado utabaki hapa ni darView attachment 787656