Hizi hapa chini hazina wakazi au zinao wachacheNilichogundua wakenya wanaushamba wa kuishi magorofani(flats) kitu ambacho watz hatupendi so kwetu ni bora kujenga nyumba yako hata kama kiwanja chako hakijawa surveyed. We like privacy and enough space for ourselves.
There are many financing models and institutions to cater for that, at the end of the day even if not all can afford many have invested in them, nowonder you pointed it out, estates like roysambu,githurai, utawala,pipeline,donholm and many others most of the apartments are owned by single kenyansIt's ok for owners but bad for me as a tenant. Ndio maana sisi hujenga zetu ili kukimbia hizo kodi za kupanga. Wangap kenya wanauwezo wa kujenga flats Nairobi???
Unajua wakenya hawajui kwanini mfumo Wa makazi ya kupangisha huku haumati sana,kisha wanajiundia majibu yao ya jumla jumla.watu wanakimbia mpaka nyumba za serikali.Hizi hapa chini hazina wakazi au zinao wachacheView attachment 787500 View attachment 787501 View attachment 787502 View attachment 787503 View attachment 787506 View attachment 787505 , people are not interested in buying or renting
Camera yangu sio nzuri otherwise balaa
Apart from BRT na gorofa tatu za blue nipicha gany ingine Mnaeza Tuonyesha... Hii picha imerudiwa mara elfu kumi na Bado Mnarudia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyinyi endeleeni kujenga swahili shacks zenye bati zilizorust ndani ya jiji lenu kisha mjione wenye maendeleo.Unajua wakenya hawajui kwanini mfumo Wa makazi ya kupangisha huku haumati sana,kisha wanajiundia majibu yao ya jumla jumla.watu wanakimbia mpaka nyumba za serikali.
Ndio maana hata mradi wa bakhresa kule Zanzibar umelenga wageni na watalii.
We don't have time for that kind of life Nairobi ni Chap chap People Work Hard and fast Hakuna time ya Kusettle... People settle Maybe in satellite areas wakisha retire and I don't Think mtu wa kawaida anaweza afford Land Nairobi... Land Huku Ina value Mingi saaanaNilichogundua wakenya wanaushamba wa kuishi magorofani(flats) kitu ambacho watz hatupendi so kwetu ni bora kujenga nyumba yako hata kama kiwanja chako hakijawa surveyed. We like privacy and enough space for ourselves.
Unataka mabati za rangi??Nyinyi endeleeni kujenga swahili shacks zenye bati zilizorust ndani ya jiji lenu kisha mjione wenye maendeleo.
kweli kabisa.........hapo ni noma halafu ni kisasa zaidi siyo zile zao zimechakaaHizi hapa chini hazina wakazi au zinao wachacheView attachment 787500 View attachment 787501 View attachment 787502 View attachment 787503 View attachment 787506 View attachment 787505 , people are not interested in buying or renting
Camera yangu sio nzuri otherwise balaa
hapo siyo dar mjomba ojwaniLosermatic be like "dar hatuna aerial views maana si mambo yetu kupigapiga picha" 😀😀😀
View attachment 787568
So hapo kilichokuudhi nini kwa mfano??Losermatic be like "dar hatuna aerial views maana si mambo yetu kupigapiga picha" 😀😀😀
View attachment 787568
halafu chakushangaza pia hizo nyumba walizozileta zipo kwenye mstariacha waokote picha google😀😀😀😀
Hivi nyinyi hakuna picha ya Dar mnayokubali ni Dar apart from the 3 towers and BRT?😀😀😀hapo siyo dar mjomba ojwani
halafu kukinyesha usiku ni choir tupu, hakulalikihalafu chakushangaza pia hizo nyumba walizozileta zipo kwenye mstari
Hawana uwezo wa kununua plot then ajenge. Njia ni hio wenye maeneo wanajenga na kuwauzia. Ni utaratibu upo kwenye ubepari uliokithiri, nchi nzima kila eneo la ardhi linamilikiwa na mtu au taasisi.Unajua wakenya hawajui kwanini mfumo Wa makazi ya kupangisha huku haumati sana,kisha wanajiundia majibu yao ya jumla jumla.watu wanakimbia mpaka nyumba za serikali.
Ndio maana hata mradi wa bakhresa kule Zanzibar umelenga wageni na watalii.
Jamaa neno ESTATE linawababaisha kwelikweli kabisa.........hapo ni noma halafu ni kisasa zaidi siyo zile zao zimechakaa