Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dah result za uefa zimenipa stress tu......
[emoji22] [emoji22]
 
Hakuna mtaa Dar inawezalinganishwa na Karen, Runda, Muthaiga, Muthangari, Kitusuri, Gigiri au Roselyn
jaribu uone ntakavokushushia vitu hapa hutakaa kusahau πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€just try and see
 
jaribu uone ntakavokushushia vitu hapa hutakaa kusahau πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€just try and see
Ongea na mwenzangu Bottas. Alishawakaribisha kwenye hio battle so ongea na yeye ila nakuhakikishia utapata aibu bure.
 
nimependa hio design so what is ur problem??
 
Ongea na mwenzangu Bottas. Alishawakaribisha kwenye hio battle so ongea na yeye ila nakuhakikishia utapata aibu bure.
nakwambia jaribu uone kama sikuzaa na wewe sasa hvi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ usicheze na dar kabisa yani utatoka kamasi za mdomo
 
nakwambia jaribu uone kama sikuzaa na wewe sasa hvi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ usicheze na dar kabisa yani utatoka kamasi za mdomo
Vita vya mdomo hamjambo. This is the same way mlipiga kelele sana kuhusu mahoteli and when the time came to prove yourselves mlituonyesha maajabu ya musa. Kuongea mtaongea sana ila najua hakuna kitu huko. Kwanza hata afadhali mahoteli nilihofia kidogo mnaweza kimbiza Nairobi mbio. Hii ya estates hata msithubutu coz najua hamna kitu. Ama mtatuonyesha zile dream houses?
 
nakwambia kama unataka kuamini jaribu uone mbona muoga wewe ???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ weka hio karen na utumbo wote alaf nikushushie nondo za adabu uone kama hutakaa kusahau, wala sihitaj maneno mengi you try and see
 
watakwambia zanzibar sio sehemu ya tanzania. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwani hapa kanuni ni nini,hii habari ya kusema tunazo mingi....,sjui tuko juu ni upuuzi.

Akiweka hata picha ya kanisa,tuma picha ya kanisa nzuri ya kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…